Uchaguzi 2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,405
Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri.

Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa John aliwashughulikia na kuwachafua kisiasa.

Yeyote kati ya hao akijitokeza kusema chochote ataonekana anajipendekeza, anajikomba na mwoga wa kushughulikiwa tena.
Kwasabb:
  • Nape alishikiwa bastola.
  • Kinana na Makamba Sr walitukanwa matusi kama yote na Musiba kisha Sauti zao zikadakwa wanamuita John mshamba.
  • Makamba jr alitumbuliwa kwa kushiriki kuandika waraka "mchafu"dhidi John.
  • Bulembo alilia kama mtoto bungeni akimshutumu Mpina wakati mitumbwi na nyavu zake vilipo shughulikiwa ipasavyo na huyu waziri kichaa. Lkn mwisho wa siku Bulembo akapuuziwa na John, halafu waziri kichaa akasifiwa sana.
  • Mwigulu huyu alivuliwa uwaziri kwa udhalilishaji mkubwa Sana kabla ya kurudishwa tena. Alitumbuliwa akiwa safarini, hivyo alinyang'anywa gari la uwaziri akiwa barabarani. Kwa sasa Mwigulu amepoa kama maji ya mtungini.
Sasa nani tena atawasikiliza hawa wafu wa kisiasa? Na ni nani basi mmbadala wa hao mwenye ushawishi anayeweza kumsaidia John kujibu hoja za Lissu?

Lakini John aliyataka mwenyewe acha jumba bovu limwangukie.
 
Aeleze sera za kuwatoa wananchi katika uchumi wa kati kwenda katika utajiri
Subiria kampeni zianze. Hudhuria mikutano yake utapata madini mapya.
Siyo misibani stiglers.
Uzinduzi wa tawi la benki stiglers.
Harusini stiglers.
Mei mosi stiglers.
 
Yetu macho na masikio, ngoja tumsubili kwani nami sioni kama atakuja na hoja za maana zaidi tu ya kutegemea mbeleko ya NEC
 
Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa John aliwashughulikia na kuwachafua kisiasa.
 
* Nape alishikiwa bastola.

* Kinana na Makamba Sr walitukanwa matusi kama yote na Musiba kisha Sauti zao zikadakwa wanamuita John mshamba.

* Makamba jr alitumbuliwa kwa kushiriki kuandika waraka "mchafu"dhidi John.

* Bulembo alilia kama mtoto bungeni akimshutumu Mpina wakati mitumbwi na nyavu zake vilipo shughulikiwa ipasavyo na huyu waziri kichaa. Lkn mwisho wa siku Bulembo akapuuziwa na John, halafu waziri kichaa akasifiwa sana.

* Mwigulu huyu alivuliwa uwaziri kwa udhalilishaji mkubwa Sana kabla ya kurudishwa tena. Alitumbuliwa akiwa safarini, hivyo alinyang'anywa gari la uwaziri akiwa barabarani. Kwa sasa Mwigulu amepoa kama maji ya mtungini
 
LISSU hana hoja ya kujibiwa maana anaaropoka hovyo tu majukwaani hana hoja hana la kujibiwa
Mbogamboga ndio hawana hoja, almost 60 years since independence, it's always the old stupid song: maji, Barabara, zahanati. Tumechoshwa na zilipendwa njooni na wimbo mpya labda tutawaelewa.

NB: Hatujasahau zile fix za 2015 uvivu hata kuzitaja. Kosi sio kosa bali kosa ni kurudia kosa.
 
CCM hata waje na hoja zipi wametualibia uchumi wetu makusudi mazima na propaganda za kijinga kua wanao lalamika ni wapiga dili wanatakiwa kurudisha kama ulivyokua miaka mitano kabla hoja haziwe kusaidia kitu
 
Mbona wanajibu sana tu. Hukuona kule Hai walivyojibu kwa kurusha mawe na baadaye kunywa Kilimanjaro Premium Lager?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom