Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya...
0 Reactions
10 Replies
273 Views
Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri mkuu kazi,vijana,na ajira pia mbunge wa chama cha mapinduzi jimbo la Shinyanga mjini Mh Paschal Katambi ametembelea katika uwanja wa ndege wa Shekh Abeid Amani Karume...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Nchimbi hakuwepo kwenye mkutano wa Rais Samia na wafanyabiashara, viongozi wegine wote walikewepo Emmanuel Nchimbi tu hakuwepo, kwanini?
3 Reactions
40 Replies
806 Views
Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki...
15 Reactions
83 Replies
1K Views
Wanaodhani kwamba kuna maridhiano yatafanikiwa, Samia (Mzanzibari) akiwa madarakani wanajidanganya. Kinachoendelea sasa hivi huko mtaani ni classification na polarization. Watanganyika hawatoki...
9 Reactions
8 Replies
174 Views
Maridhiano baada ya Uchaguzi Polepole alisema wazi kabisa kwamba ni Utapeli na ulaghai...
16 Reactions
81 Replies
881 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta...
6 Reactions
99 Replies
865 Views
Wakati wa Nyerere, Tanzania ilijulikana sana tu tangu Asia , Ulaya, Marekani hadi hapa barani kwetu Afrika. Labda tungeuliza hivi ni lini Tanzania ilianza kupoteza umaarufu? Huko Umoja wa Mataifa...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri...
0 Reactions
6 Replies
111 Views
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano...
3 Reactions
14 Replies
392 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza...
10 Reactions
138 Replies
1K Views
Kwanza mheshimiwa Rais bwana Yesu asifiwe na tumsifu Yesu Kristu , kwanza nakutakia maisha mema na marefu kuuona mwaka 2019 ambao ni utakuwa unaingia umri wa watu wazima kabisa wenye 60+ ambao...
23 Reactions
54 Replies
6K Views
Deni la Taifa kwa sasa ni trillion 41 ambako uchunguzi unaonesha kwamba kila awamu ina mchango katika deni la Taifa , lakini awamu ya kikwete ilitia fora 1.Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 3...
8 Reactions
161 Replies
24K Views
Asubuhi hii nimekuwa nawaza yafuatayo Najua ni vigumu kuwa unamdai mtu akakulipa unayetaka, labda umwambie akupatie alichonacho Na huduma mbali mbali Na umpe timeframe, Kama ningebahatika kuwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia sana mataifa mbali mbali ya afrika na dunia kwa ujumla, Kwanza naanza kwa ku declare interest kwamba mimi ni mwana CCM, ambaye nimeitumikia CCM katika nyadhifa mbali...
24 Reactions
75 Replies
8K Views
Tunaanza Mwizi wa madini ya Tanzania ni nani na huputia wapi? Mwizi wa madini ya Tanzania ni yule ambaye anasaini mikataba ofisini kinyume na maadili na taratibu zilizowekwa juu ya uchimbaji na...
31 Reactions
103 Replies
9K Views
Rais amesema mipango ya kujenga uwanja wa Omukajunguti ulikuwa wa kisiasa zaidi, Ameyasema hayo katik ziara yake mkoani kagera mjini Kyaka ambapo ni kama wachache tu kwenda Omukajunguti ambalo ni...
8 Reactions
117 Replies
15K Views
Kusema kweli naanza kuwa na was was na kama kweli mahakama ya mafisadi IPO au tulidanganywa? Kuna nia kweli au ni siasa? Kesi zipo hapa hebu anza na hizi, 1.Richmond hasara ya 350 billions...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo Sehem...
18 Reactions
113 Replies
13K Views
Nimezijua sana siasa za Tanzania, nimejua mbinu tunazotumia kuudanganya Umma, Mbinu pekee ni kuwaaminisha wananchi kwenye makaratasi na majukwaa kwamba uchumi umekua kumbe siyo, Kiashiria...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Back
Top Bottom