Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,535
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,779
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Chadema hamna jema
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,503

Mambo ya Manyara na tanzanite?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
42,001
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?

Mnyeti ana undugu na JIWE, nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo, ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC!! Hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,535
2,000
Mnyeti ana undugu na JIWE ,nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo,ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC !! hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
Asante kwa taarifa
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
165,504
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
CC: Afande Hamduni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,447
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Utakatishaji wa pesa mkuu hakuna kipindi watu wameiba Kama Cha mwendazake, halafu wale wa ka mfumo walikuwa washangilia
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,615
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Atakuwa alipiga mawe ya Tanzanite kule mererani ,wakati wakati akiea Mkuu wa mkoa Manyara.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,497
2,000
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Akiwezekeza mswahili kaiba ,ila akiwekeza mhindi na mzungu kimya hata kama huyo mhindi au mzungu ni tapeli, waswahuili bana, kama ameiba amekwibia wewe? yaani kila kiongozi aliyekuwa mwiba kwa wahuni wa SACCOSS mnataka ashitakiwe, hata mwenyekiti wenu achunguzwe kwa kuifanya ruzuku mali yake.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,497
2,000
Kuna wakati Riz1 alisingiziwa kila aina ya uzushi na kila dili tuliaminishwa ndio mhusika mkuu, kila jengo tuliambiwa ni mali ya Riz1 ,kila kituo cha mafuta,kila lori na kila aina ya uchafu tuliambiwa ni Riz1,yote hayo kwa sababu baba yake alikuwa raisi, na hata hawa wa sasa wanasingiziwa na kwa maneno mengi kisa tunaambiwa walikuwa karibu na mwendazake, sasa na nyie mlio karibu na mwenyekiti wa SACCOSS tuanze kuwachunguza na kuwasema kuwa matapeli,wakwepa kodi sio?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,857
2,000
Itakuwa yale yale ya Sabaya ya kupora billions kutoka kwa Wafanyabishara.
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom