Kesi inayomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, huku mshtakiwa akiendelea kusota rumande...
Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema hakuna mwanachama anayepaswa kujiona mkubwa au maarufu kuliko Chama Cha Mapinduzi, akisisitiza kuwa kufikia hatua...
Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa...
Agosti 4, 2026, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bakari Kazungu, alitekwa na watu wasiojulikana jijini Tanga na baadaye kupatikana akiwa amepigwa na kuteswa vibaya. Kabla ya tukio hilo, Kazungu...
Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi...
Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika.
Je...
CCM inaendeshwa na wahuni aliwahi kusema Polepole kwamba Samia kuna kikundi kimemweka mateka kinapambania maslahi yao tunaona kwa Nchimbi kosa lake nini...
ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan...
Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, David Jumbe, anasimulia kwa kina matukio yaliyomkuta kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, akidai kuwa alipokea vitisho, alifuatwa nyumbani...
Kwa jinsi hali ilivyo na upepo wa siasa unavyovuma wasingemfukuza Emanuel Nchimbi Kwa kusema hana nidhamu. Kwanza waliotakiwa kujua siasa ya nchi yetu imekuwa ngumu sana hasa Kwa ccm kuliko...
Kwa nchi za kiafrika Tanzania haikuwa kwenye kundi la hovyo kiasi hiki. Usalama wetu ulilindwa kistaarabu kabisa na siyo kwa kutisha raia. Sababu kubwa ilikuwa ni uongozi usiokuwa na tamaa ya mali...
Nchimbi yuko wapi msije kua mmemweka kizuizini huyu jamaa tunaomba ujitokeze wananchi wanataka kujua nini kimetokea mpaka umejiuzulu. Je hiyo barua umeandika wewe maswali ni mengi sana tunaomba...
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.
Dua...
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa...
Magufuli alisema tutamkumbuka, nq ni kweli!
Sahivi hata uandike malalamiko hakuna wa kuzingatia wala kujali. Viongozi wa KKKT wana kiburi na dharau itafika watanzania watachoma zile taasisi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.