Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi CCM amtaka CAG kufanya ukaguzi wa fedha za Tone tone za Chadema

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,963
Reaction score
6,693
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
 
Hii michango ya buku buku mpaka kufika mil 200+ imewaumiza sana ccm,wao walitarajia watu wachache mfano kama GSM nk watachangia kiasi kikubwa cha pesa.
Wanajiuliza buku buku wamechanga jumla watanzania wangapi mpka kufika mil 200.
Wajue kuwa CDM ipo mioyoni mwa watnzania
 
Mda mwengine Ripoti za Mkaguzi mkuu wa serekali mzioni.

Mnapofikia mnanikumbusha ukiwa mafia au unakubali kuwa carteli utapigwa hata kidore cha mkndu useme na ukibisha unapoteza.

Hii nchi .Tuliopo TISS nafunguka mtauliwa wote na wote mpaka ndugu zenu nafunguka leo.
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 9

Amuambie kwanza mwenyekiti wake awachukulie mafisadi woote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG maana wale walikwapua rasilimali za watanzania
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
Yeye anamwagiza CAG kama nani? Hivi huko ccm wenye busara, hekima na akili walikufa? Mbona anashindwa kujua kuwa ccm na cdm ni vyama vya siasa vilivyo na level sawa! Anakisemeaje chama kisichomhusu?
Serikali yake ilivyozuia ruzuku ya cdm alitarajia wajiendesheje?
Ccm jiandaeni kufukiwa kisiasa.
 
..katika hoja zote dhidi ya Cdm wameona wazungumzie tone tone.

..shida ninayoiona sasa hivi ni Ccm kukosa makada wenye vipaji, wenye kauli zinazo connect na wananchi.
 
Hii michango ya buku buku mpaka kufika mil 200+ imewaumiza sana ccm,wao walitarajia watu wachache mfano kama GSM nk watachangia kiasi kikubwa cha pesa.
Wanajiuliza buku buku wamechanga jumla watanzania wangapi mpka kufika mil 200.
Wajue kuwa CDM ipo mioyoni mwa watnzania

Aisee sanaaa

Mpaka sasa hakuna mtu anaongea mambo ya serikali wote wako busy na chadema
 
Hizo reports za CAG hazina hata maana yoyote kwa sasa!!

Uwanja wa Arusha si kasema tumepigwa billions of money!!

Hivyo vimilioni ndiyo vinawauma kupigwa?
 
Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa yaliyofanyika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, Jamal amesema ukaguzi huo utasaidia kuwaweka wazi Watanzania kuhusu matumizi ya fedha zinazokusanywa na chama hicho.

Soma Pia: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Jamal amedai kuwa fedha zinazochangwa na wanachama na wananchi zinatumika kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, hali ambayo imechangia kupungua kwa imani ya baadhi ya wanachama kwa viongozi wao.
Kwani Ripoti ya CAG mmeishughukikia?
 
Aisee sanaaa

Mpaka sasa hakuna mtu anaongea mambo ya serikali wote wako busy na chadema
Hahaha hata sifa kwa mwenyekiti wao zimepungua wameigeukia CHADEMA
 
Back
Top Bottom