Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

Inevitable

Senior Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
122
Reaction score
319
Hata sijui kwanini siwezi andika kilicho kichwani mwangu vema.

Au basi tu 👇🏽

IMG_7965.jpeg
 
Na wazee wa ‘Idara’ wameruhusu hizi mambo?

Nimejikuta natafakari mbwembwe zilizofanywa huko Kizimkazi, najiuliza “ILI IWEJE?”

Rais anapenda mambo kama haya? Na ‘wazee wa kazi’ wakaona acha iwe hivyo?
Wazee gani wa kazu mkuu?

Umeniacha njiapanda ujue 😅
 
Meza unayotikisa ina vinywaji vya bei ya chini sana kiasi kwamba ukivimwaga huyo masikini mwenye vinywaji hawezi kukuacha
 
Back
Top Bottom