Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,159
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoeleweka.
Imekuwa ukitofautiana kimawazo katika CCM basi wewe ni ugaidi.
CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi.
Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watueleze Nchimbi yuko wapi?