Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.
Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?
Kwa nini...
Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi.
CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana...
Kitendo cha hovyo na cha kinyume cha sheria cha CCM kujichukulia madaraka na kuvunja katiba kilaaniwe.
Nina maswali machache.
Kisheria, makamu wa rais ni mwajiliwa wa nani kati ya wananchi...
Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi...
Nilikuwa tafakari siasa zetu hizi, swali likaja hivi ikatokea mgombea Urais kupitia chama fulani mfano CCM, akashinda Urais na baada ya kuapishwa tu ,ikatokea sintofahamu kwenye chama chake akaona...
Kuna nguvu kubwa sana inatumika na imekuwa inatumika miezi 12 iliyopita kuzima ushawishi na nguvu ya Mhe. Tundu Lissu, hamahama ya CHADEMA ikiwa mojawapo. Kuna uwezekano Mhe. Lissu atakaporudi...
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni...
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria zetu za uchaguzi zinataka mtu ukigombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na...
Hatua ya maswali ya dodoso (Cross Examination) kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanatarajiwa kutamatishwa leo Agosti 27, 2026 na kufungua mlango kwa shahidi mwingine wa Lissu kupanda...
Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli?
Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura...
Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi
Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine
Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye...
Upinzani wa Syria, Libya, Yemen na mataifa mengi walifanikiwa kubadilisha mfumo katili kwa kuweza kuanzisha "Parallel institutes"
Watanzania hawakumpa Uhalali Samia hivyo wako tayari kumpa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali...
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote...
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.
Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?
Pili, kwanini...
Wanabodi,
Wale wenye kumbukumbu ya Kesi ya Mauaji Mwanza, kilichomtokea Daudi Mwangosi mikononi mwa polisi sote tumekiona, sasa nauliza hivi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Nchimbi na IGP, Saidi...
Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kutoka nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na baadaye kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumemaliza kwa ghafla moja ya safari za kisiasa zilizokuwa...
Wakili Peter Kibatala amesema Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua uamuzi wa awali uliokuwa umemwamuru msanii Webiro Wasira (Wakazi) kumlipa TZS milioni 100 Clayton Chipando (Baba Levo) kwa madai ya...