PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 292
- 336
Wakuu umuofia kwenu!
Nawasilimu kwa jina la Tanzania......
Leo Watanzania wameionyesha dunia kuwa sio "cheap"
Watanzania huwa hawashirikiani na jambo wasilolijua mzizi wake, unaweza ukawanunua/wadanganya baadhi kwa mara ya kwanza ila hawawezi kurudia kosa!
Kongole na kazi iendelee
Nirudi kwenye theme yangu kuhusu uhusiano wa matukio ya wasaidizi wa viongozi wa juu kabisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndugu David Jumbe na dereva wa Makamu Heche aliyefariki kule Kigoma!
Watu hawa ni wa karibu wa viongozi hao kwa kutazama tu kutokana na kipindi ambacho wamefanya kazi pamoja
Mimi sio mjuzi wa mambo ya crime and intellectual investigation lakini kuna mambo yangonga ubongo wa hata mtu gumbalu kama mimi.
Ilianza kunusurika kilichosemekana kutekwa kwa David Jumbe, kukafuatia kifo cha dereva baadae zimekuja kuibuka shutuma kwa Makamu Heche kuhusu matumizi mabaya ya fedha za wafadhili!
Kuna ukakasi hapa