Ni dhahiri Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yamevurugika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,132
Reaction score
288,715
Kutokana na tishio la Maandamano Makubwa kufanyika Nchi nzima tarehe 7.7 ni wazi kabisa sasa kwamba Maonesho ya kimataifa ya biashara yanayofanyika kila mwaka na kufikia kilele chake July 7 yamevurugika

Hakuna Kampuni Yeyote inayojitambua itakayoshiriki Maonesho hayo

Sikuwahi kudhani iko siku Watanzania watakuja kuwa na nguvu kiasi hiki

Nakulilia Tanzania
 
Lazima Ratiba ya mikutano ya hadhara ya Chadema iendelee kama kuna hatari basi hata maonesho ya sabasaba yahahirishwe
 
Kutokana na tishio la Maandamano Makubwa kufanyika Nchi nzima tarehe 7.7 ni wazi kabisa sasa kwamba Maonesho ya kimataifa ya biashara yanayofanyika kila mwaka na kufikia kilele chake July 7 yamevurugika

Hakuna Kampuni Yeyote inayojitambua itakayoshiriki Maonesho hayo

Sikuwahi kudhani iko siku Watanzania watakuja kuwa na nguvu kiasi hiki

Nakulilia Tanzania
Hiki ndicho mnachokifurahia. Mnamkomoa nani sasa!
Mnawaharibia mpk wajasiriamali wadogo kujipatia rizki zao.
 
Mnafurahia watu kuharibikiwa biashara zao kwa kosa gani hasa wamewafanyia!?
Daladala, bajaji, bodaboda, Mama Lishe wote mnawapotezea fursa wamewakosea nini hasa!
"Uongo hatari zaidi ni Kuiongopea nafsi yako" MIM.
Hivi hadi leo hufahamu shida hasa ya yote haya ni nini?
Madai ya raia yanayopelekea haya ni yapi?
 
Hivi ni kweli hujui kwamba athari kubwa ya kuvuruga biashara za watu inawapata wajasiriamali wadogo wadogo?
 
Kutokana na tishio la Maandamano Makubwa kufanyika Nchi nzima tarehe 7.7 ni wazi kabisa sasa kwamba Maonesho ya kimataifa ya biashara yanayofanyika kila mwaka na kufikia kilele chake July 7 yamevurugika

Hakuna Kampuni Yeyote inayojitambua itakayoshiriki Maonesho hayo

Sikuwahi kudhani iko siku Watanzania watakuja kuwa na nguvu kiasi hiki

Nakulilia Tanzania
Hatari sana. Mimi kama muumini wa siasa safi. Nawaomba CCM wawe tayari kuruhusu maridhiano yenye tija kwa taifa ili nchi isonge mbele. CCM wasione hatari kutupwa nje ya madaraka kwa sababu mabadiliko hayazuiliki bali yanacheleweshwa. Mbona huko Kenya KANU walikuwa wapole!

Madhara ya kushupaza shingo ni nchi kukwama na kuwa katika taharuki pindi tarehe za maandamano zitakapokuwa zinatajwa. Kwa mfano, wahamasishaji wa maandamano wapo kimkakati sana, wanataja zile tarehe zenye matukio muhimu mfano SabaSaba. Yasipotokea watataja tena labda 8/8. Sasa tutakuwa tunaishi kwa hofu mpaka lini? Maridhiano ni muhimu sana jamani tusidanganyane! Binadamu wa sasa kuwaburuza ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom