Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa...
38 Reactions
72 Replies
6K Views
.. Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama. Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa...
14 Reactions
65 Replies
2K Views
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu. Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
434 Views
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Umri wa kupiga Kura ni kuanza miaka 18 Sasa mnashangaa nini? Nawatakia Dominica njema 🙏
2 Reactions
30 Replies
861 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
GT. Anasema "Upumbavu ni kuujua ukweli lakini ukakumbatia Uongo" Aha 😄 🤣 😂 wonders shall never End
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana CCM wamefanya mkutano wao wakati huo huo tume ya uchaguzi imeweka wazi ratiba rasmi ya uchaguzi mkuu. Hii inatoa taswira kuwa CCM hawajali lolote lile, kumekuwepo mambo mbalimbali yanao...
1 Reactions
8 Replies
459 Views
Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Samia amejua kuwasuuza wajumbe leo na kuonesha kua anahitaji wajumbe wachache tu, kama 30 tu kukiendesha chama, nyie wengine mtabaki kua waskilizaji from far na kuwawezesha mambo yao yaonekane...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha...
8 Reactions
22 Replies
877 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la...
1 Reactions
5 Replies
428 Views
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje...
0 Reactions
4 Replies
312 Views
Kimsingi mimi ninakubaliana na Ngurumo kuwa vyama vyote vinahitaji mabadiliko ya kikatiba, sheria na kanuni za kiuchaguzi(Reforms), CHADEMA, ACT, CHAUMMA,UMD, NCCR, CUF na hata CCM kwa kiwango...
1 Reactions
22 Replies
936 Views
Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
UTANG'ARA AU UTAFUBAA Zamani za kale, katika Ufalme mkubwa wa Singida, alizaliwa mtoto wa kifalme mwenye alama ya ajabu usoni jina lake aliitwa Kachimuu, mtoto wa malkia wa pili. Kabla...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Back
Top Bottom