Zungu,ameshawasili kwenye kituo na mkutano unaendelea!

Zungu,ameshawasili kwenye kituo na mkutano unaendelea!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,980
Reaction score
27,914
..
Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
1753522626565.jpg
 
Siyo kweli. Hapo mhe. Zungu alikuwa anatest mitambo lkn mtandao umezingua. Hakuna kikao kilichofanyika.
Mbona yule cotober anasema kikao kishaisha 😀
 
Kunguni za chadema,mlikuwa mnatariji nini hasa juu ya mkutano wa leo,26th/July/2025?,are you happy?😄😄😄......(Anakwenda kubwaga manyanga,subutu yenu)hapa ni vyuma kwa vyuma mpaka kieleweke)
 
Back
Top Bottom