Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli hii No Reforms No Election ni ya Watanzania wote. Wana CCM sasa wanadhibitiwa mpaka kwenye mikutano yao. Inakoelekea it will get even worse. Makada, Work up.
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Wananchama wengi wa CCM wametia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge. Moja ya sharti lililowekwa na CCM ni kuwa watia nia wote kwa nafasi za Udiwani na Ubunge kwanza watachujwa na Kamati...
1 Reactions
8 Replies
680 Views
Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu. Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
15 Reactions
39 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada...
1 Reactions
3 Replies
493 Views
Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema, Na endapo...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
7 Reactions
131 Replies
4K Views
Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi. Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
CHADEMA ndiyo Chama cha kwanza Tanzania kuruhusu kufanya vikao vyake kwa kutumia mitandao ya kijamii. Vikao kadhaa vya Kamati Kuu ya CHADEMA vimeshawahi kufanyikia mtandaoni. Soma Pia: CCM...
1 Reactions
2 Replies
332 Views
== Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa. == Mwanza mmebahatika...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi. Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini. Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna...
15 Reactions
60 Replies
3K Views
Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi Wajumbeeeeeeeeeh
3 Reactions
10 Replies
692 Views
Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu...
3 Reactions
7 Replies
679 Views
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI: Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530. Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147. Kura zilizoharibika - 30. Kura Halali - 2,117...
29 Reactions
43 Replies
3K Views
Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia...
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Kama ilvyoandikwa 1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa...
1 Reactions
7 Replies
347 Views
1 SAMUELI 15:35.... lakini Samweli alikuwa akimlilia Sauli..... 1 SAMUELI 16:1-' BWANA akamwambia Samweli, HATA LINI UTAMLILIA SAULI, IKIWA MIMI NIMEMKATAA ASIWAMILIKI ISRAELI?. Wakuu, Hiki ni...
4 Reactions
8 Replies
602 Views
Back
Top Bottom