Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wachambuzi wa Siasa za Africa mashariki Kenya wakizungumzia mashindano ya CHAN wamempongeza Rais Samia kwa kudhamira kulibakisha Kombe Africa mashariki Wamesema Ruto na Museveni wanapaswa...
0 Reactions
7 Replies
408 Views
Yaani wanachama wa CHADEMA wakikusanyika nyumbani kwa mwenzao kujadili mustakabali wa chama chao ni kosa na mkusanyiko usio halali? Hawakukusanyika kwenye ukumbi au ofisi zao. Bali kwenye nyumba...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi...
3 Reactions
9 Replies
890 Views
Wakuu! Yaani Nape Nnauye sasa hivi si tu anatia nia ya Ubunge Mtama, bali hadi kuchambua mboga! Siasa hizi zimegeuka tamthilia kila mtu anatafuta huruma kwa kamera. Lakini tusidanganyike...
12 Reactions
74 Replies
4K Views
Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana...
0 Reactions
7 Replies
592 Views
Mimi, Dickison Damasi, mwanachuo katika moja ya Vyuo vilivyopo Dar es Salaam na mwanachama hai wa TAHLISO, napenda kuwasilisha malalamiko rasmi dhidi ya Rais wa sasa wa TAHLISO, ndugu Geofrey...
0 Reactions
4 Replies
461 Views
Timu ya vijana wa Kitanzania kutoka jamii ya Watanzania wa Diaspora waliozaliwa nchini Somalia kwa wazazi wa asili ya Kitanzania na Kisomali, imeibuka mabingwa wa Ligi ya Vijana mjini Mogadishu...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa...
0 Reactions
7 Replies
487 Views
https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
1 Reactions
4 Replies
435 Views
Wanaukumbi. Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea...
8 Reactions
133 Replies
3K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha kila...
0 Reactions
10 Replies
922 Views
Salaam, Shalom! Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃 Unadhani...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana. Je, Chadema wameona kwamba, CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Mara nyingi wafuasi wa Chadema hutolea mfano wa marekani kama taifa lenye demokrasia iliyotukuka Halafu Chadema hao hao huwalaumu viongozi wa CCM kuwajaza Familia zao bungeni mfano Mwinyi, JK...
0 Reactions
11 Replies
538 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum -...
0 Reactions
4 Replies
347 Views
1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi). 2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi, 3...
17 Reactions
66 Replies
6K Views
Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu...
5 Reactions
4 Replies
291 Views
Yeah, wiki iliyopita CHADEMA walikuwa wanakesha humu kushusha mamia ya mathreads ya kumchulia Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Walitoa Kila aina ya Dua mbaya kwa amiri...
1 Reactions
5 Replies
284 Views
Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi...
5 Reactions
91 Replies
3K Views
Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom