Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

Joined
Jan 20, 2015
Posts
21
Reaction score
75
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
 
Watu walidanganywa Kwa kupewa peremende (VP) na fimbo hapo hapo
 
Water is wet😂
 
Nafikiri dawa ya kudumu ya kuvifanya vyama vya siasa wawe na nidhamu ya kuchagua mgombea competent na anayekubalika na watanzania wengi ni kukubali kuwe na vyama shindani ambavyo idadi yake isiwe Utitiri, ambapo wengine kupitia utitiri huo hujiegesha kwa chama tawala ili tu wazile pesa zetu za kodi.
 
Umeandika samadi ya ngombe, hamna pointi hata moja
Samadi ya ng'ombe ina faida kuliko uharo uliotoa.
Nchimbi mwaka 2015 alitoka nje ya mkutano yeye na Sophia Simba wakaanza kuimba ...."Tunaimaaaani na Lowasaaaaa ......"!
Walipinga kukatwa kwa Lowassa hadharani.
Leo wanaowapinga Nchimbi na Samia wanaonekana wasaliti na magwajima.
Kumbe wao wakipinga inakuwa sawa, wakipingwa inakuwa uhani.
CCM hovyo sana.
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Kwa nchi inayoishi kichina kwa Cover la Domokrasia ya mchongo, wanasiasa kuishi kinafiki sio jambo la kushangaza.
Wanaodai Reforms wasipuuzwe!
 
Kwanza tu kule kudhani kwamba Nchimbi naye anaweza kuwa rais siku moja ni uzezeta wa kiwango cha sgr! Poor my country, hata Nchimbi naye? 😢😢
Sina sababu ya kumtetea Nchimbi kwa lolote; lakinije, uliwahi kuhoji kilicho mfikisha haPo alipo Samia Suluhu Hassan?
Nchi hii hapa tulipofikia sasa, mtu yeyote anaweza kubandikwa kwenye nafasi hiyo kuu, na waTanzania wasifanye lolote.
Itakuwa ni bahati ya kipekee sana kama hatimae Samia ataamua kuachia kwa sababu zake mwenyewe. Vinginevyo tutabaki naye huyu hadi hapo atakapoamua kumpisha anayetaka kumpisha mwenyewe; awe ni Ridhiwani au Mchengerwa; yote ni hiari zao wenyewe walioshikilia mpini.
Hii ndio hali halisi sehemu kubwa ndani ya bara la Afrika. Sisi hatuna tofauti yoyote na hao wengine.
Ni kuomba tu, kudra za Mwenyezi Mungu yasitufike hapa.
 
Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.
Kuna mada humu JF inamzungumzia Mzee Butiku akihojiwa, na kusema Samia hakujuwa kilichokuwa kikiendelea kwenye mkutano huo!
Hili la "mgombea mwenza", nalo Mwenyekiti alikuwa hajui kitakachotokea kwenye mkutano aliPoanza mchakato wa kumPata Makamu wake?
Nchi hii sasa imekuwa ya kitaeli taeli sana, hata wazee wanaona ni bora kulemba lemba hivyo hivyo; badala ya kuusema ukweli ulivyo!
 
Kiufupi CCM imeoza, ni kiongozi gani wa CCM wa ngazi yoyote anayechaguliwa bila kuhonga wajumbe?
 
Back
Top Bottom