==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika...
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna...
Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi
Wajumbeeeeeeeeeh
Shalom!
CCM haitaanguka yenyewe,
Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala.
Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde.
Watafanya watakacho ili...
Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu...
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:
Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
Kura zilizoharibika - 30.
Kura Halali - 2,117...
Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani.
Tuwe wakweli Jamani Samia...
Kama ilvyoandikwa
1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato,
ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima.
2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume,
lakini moyo wa...
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili...
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni...
My Take
Wakati huo wengine walikuwa Bado wananyonya na wengine wananuka Maziwa ya mama zao.
SSH is here to stay ,chuki,majunga na fitina hazitawasaidia tafuteni kazi za kufanya...
Hii ikiashiria na kutoa picha kamili kwamba, mgombea huyu mashuhuri wa CCM ndie anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu huo muhimu sana na wa kihistoria nchini...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo...
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari...
Ridhiwan Kikwete amechukua na kurudisha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwenye ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo
Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo anataka kuendelea...
Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?.
Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri...
Kabla hajatubu, Mwenyekiti aliyejipitisha anakimbilia kubadilisha katiba ya chama.
Hakuna cha kumfanya.
Ndani ya hichi chama kuna usemi wa,'acha waseme na usiku watalala '
Kweli anawachezesha...
Na. Manase Visulo
Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi.
Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.