Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kachero ni kachero tu! Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa. Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu...
16 Reactions
41 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, Baadhi ya Wapiga kura, wamelalamikia tume ya Uchaguzi Tanzania kwa kubadilisha namba zao kwenye daftari la kudumu la Wapiga kira. Wamekua wakiondoa au kuongeza baadhi ya tarakimu...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu...
12 Reactions
33 Replies
5K Views
Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI. Na, Robert Heriel Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu. Tunachagua...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
✳️HUYU TUNDU LISSU ANA NINI KWANI ? MBONA KAMA KUNA HOFU KUBWA AMEILETA KWA WATAWALA NA WANANCHI ? 🔵Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba ( ©️®️ M ) Ni muda mrefu sana ulipita karibu miaka mitatu...
19 Reactions
49 Replies
6K Views
Zile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu...
92 Reactions
143 Replies
15K Views
Uchaguzi ni mchakato unaoanzia kwenye kutia nia hadi angalau kutangazwa kwa mshindi. Watia nia na hata wapiga kura wote ni wana wa nchi hii hii. Fitina, ufedhuli, chuki, pepo wachafu wachafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT. Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka...
1 Reactions
93 Replies
17K Views
*UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.* Na Elius Ndabila 0768239284. Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kushinda uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kisingizio cha kupita bila kupingwa ni jipu ambalo yafaa litumbuliwe haraka ili kuleta usawa na kushamirisha amani ya Nchi yetu. Haiingii akilini kuwa mtu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na hawa viongozi wakuu wa upinzani, badala ya kuwa bega kwa bega na wagombea wao wa urais, ubunge, na udiwani, eti nao wanatafuta Ubunge ili wakawe mawaziri wakuu au viongozi wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam, CCM imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. CCM imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa sasa ipumzike sababu za kuipumzisha ni...
23 Reactions
60 Replies
4K Views
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi. ====== Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha...
14 Reactions
177 Replies
22K Views
Ndugu Membe ameongea maneno mazito na yenye hekima. Tabia ya taasisi zinazosimamia chaguzi kufanya kazi kwa maelekezo ya watawala ili zisitende haki ni jambo baya kabisa. Hawa watu wanahatarisha...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
=========== Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa. Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua...
46 Reactions
108 Replies
13K Views
Kuna propaganda zinaenezwa na ccm kwamba Chadema ni chama Cha mitandaoni mala wapiga kula wapo vijijini lengo ni kuondoa morari ya wanaotaka kukipigia kula hata wale ambao hawana vyama. Sasa...
10 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni siku ambayo kampeni nhini Tanzania zinaanza kuelekea uchaguzi mkuu ambao utafanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Niwaombe wanasiasa wafanye kampeni za kistaarabu, ni wakati wao wa kuuza sera zao...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom