Uchaguzi 2020 Bernad Membe awaonya watawala wasichafue amani ya nchi kwa kuvuruga chaguzi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,638
51,605
Ndugu Membe ameongea maneno mazito na yenye hekima. Tabia ya taasisi zinazosimamia chaguzi kufanya kazi kwa maelekezo ya watawala ili zisitende haki ni jambo baya kabisa. Hawa watu wanahatarisha amani ya hii nchi.

Kwa kweli kama kutatokea kuvurugika kwa amani kutokana na hii michezo ya kuwanyima wananchi haki ya kuchagua au kuchaguliwa kwa uhuni basi viongozi wa tume na watawala watabeba dhima ya mambo hayo.

Membe alitegemea Tume ikamkate Lisu abaki yeye kutokana na makubaliano ya Siri Kati ya viongozi wa juu wa Chadema na ACT wazalendo

Tume imekwepa mtego sasa wakapambane majukwaani Lisu vs Membe CCM tutakuwa watazamaji

Kwake Lisu kupitishwa na tume Ni tume haijatenda haki na yeye aliongea wazi kuonyesha Lisu kakiuka maadili !!!

Ujio wa Lisu unamfanya Membe ushindi bara uwe ndoto inayozimwa na Lisu upande wa upinzani na yeye akizima switch ya ushindi wa Lisu Zanzibar

Ni kuzimiana switch kwenda mbele kila mtu anazima switch ya mwrnzie kwake

Lisu Alikuwa sahihi kusema uchaguzi huu utakuwa mgumu !!! Kwake na Membe sababu Ni mwendo wa kuzimiana switch Lisu akienda mikoa ya pwani na kusini Membe anazima switch ya Lisu maana hiyo Kanda yake Lisu akienda kigoma Membe anazima Switch

Safari hii Ni balbu kuzimwa switch kwenda mbele
 
CCM:Safari hii Ni balbu kuzimwa switch kwenda mbele

CHADEMA:Safari hii Ng'ombe atachinjwa upande wowote ule atakao kua amelalia.

Kazi ipo.
 
Vipi unaunga mkono matendo ya kihuni ya kupora mchakato wa chaguzi?
 
CCM:Safari hii Ni balbu kuzimwa switch kwenda mbele[

CHADEMA:Safari hii Ng'ombe atachinjwa upande wowote ule atakao kua amelalia.

Kazi ipo.
Safari hii Ni kuzimiana switch . Chadema wakienda tabora kwa wanyamwezi Lipumba anawazimia switch wakienda usukumani Magufuli anawazimia switch

Wakienda Zanzibar mwinyi na mama Samia Suluhu na Seif sharrf Hamad wanaizimia switch Chadema
 
Safari hii Ni kuzimiana switch . Chadema wakienda tabora kea wanyamwezi Lipumba anawazimia switch wakienda usukumani Magufuli anawazimia switch

Wakienda Zanzibar mwinyi na mama Samia Suluhu na Seif sharrf Hamad wanaizimia switch Chadema
'Wakienda Zanzibar mwinyi na mama Samia Suluhu'

Hahah hivi kumbe na hao hua wanajua kuongea?Nilikua sijui aisee.
 
BM nikimuangalia namuona as if anawacheka Act -Wazalendo kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kugombea huku wakijua kwamba ana yake tofauti na wanavyoamini Act.
 
Edward Lowasa, Sumaye, B. Membe na Mkapa (RIP) wanajua yale wanayo au walio tutendea kwenya uchaguzi hivyo wakisema mjue wanaongea from experience problem yao wanayaongea wakihama baada ya kumwaga kwenye vyama vyao au wanapomaliza ngwe zao. Bahati CCM haiwasikilizi tena.

Ukiongelea Tume huru kuna watu wanasema tuna tume huru yaani wanasema Mkapa hajui maana ya tume huru (wakati kwenye kitabu chake kasema tunatakiwa kuwa nayo).
 
Kikatiba kwa hata tuliofikia rais anaweza kuteua watu wa tume na kutengua, nchi ipo chini ya nani kwa sasa
 
Back
Top Bottom