Uchaguzi 2020 Kama NEC inabariki ubakwaji wa haki ya Msingi ya Wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa basi wananchi wataanza kudharau chaguzi na hii ni hatari sana

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,501
51,092
Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za Taasisi muhimu za Uchaguzi kufungwa.

Haya yote tunayotaarifiwa yanaumiza na yanasikitisha.

Lakini najiuliza kwa nini tume inaweza kubariki kuwanyima wananchi haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa kwa sababu ya technicalities ndogondogo tu ambazo wasiopenda demokrasia huzitumia kuvuruga mchakato wa uchaguzi?

Kwa nini NEC isione kuwa huu mchezo wa kupita bila kupingwa wakati kuna watu walichukua fomu za kuomba kugombea hapo awali ni mchezo wa kuigiza tu na Tume ihakikishe wananchi wanapewa fursa ya kuchagua mtu wamtakaye?

Ubaya wa kubariki matendo haya ya kihuni ni wananchi kuanza kudharau chaguzi, ikifikia hatua hiyo, jamii inaweza kuwa radicalized katika uelekeo mbaya na nguvu hasi zikaenda kujaza ombwe.

Naiasa NEC, ikatae kabisa hii dhana kuwa kuna majimbo watu wamepita bila kupingwa ili kuhakikisha majimbo yote yana watu wanaogombea

Tume itumie hekima, kwa ajili ya kukuza demokrasia yetu na amani yetu na imani ya Wananchi kwa taasisi zake za Mamlaka na haki

Kupita bila kupingwa wakati kuna michezo ya kihuni inafanywa na wanaostahiki kusimamia haki nia aibu ya Taifa, Tume ilisaidie taifa katika hili isikubali shinikizo la watawala

Hebu Tazama huyu alivyonusurika kutekwa hata kuuawa sababu wahuni walitaka kumpora fomu:

Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za taasisi muhimu za uchaguzi kufungwa.

Haya yote tunayotaarifiwa yanaumiza na yanasikitisha.

Lakini najiuliza kwa nini tume inaweza kubariki kuwanyima wananchi haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa kwa sababu ya technicalities ndogondogo tu ambazo wasiopenda demokrasia huzitumia kuvuruga mchakato wa uchaguzi?

Kwa nini NEC isione kuwa huu mchezo wa kupita bila kupingwa wakati kuna watu walichukua fomu za kuomba kugombea hapo awali ni mchezo wa kuigiza tu na Tume ihakikishe wananchi wanapewa fursa ya kuchagua mtu wamtakaye?

ubaya wa kubariki matendo haya ya kihuni ni wananchi kuanza kudharau chaguzi, ikifikia hatua hiyo, jamii inaweza kuwa radicalized katika uelekeo mbaya na nguvu hasi zikaenda kujaza ombwe.

Naiasa NEC, ikatae kabisa hii dhana kuwa kuna majimbo watu wamepita bila kupingwa ili kuhakikisha majimbo yote yana watu wanaogombea

Tume itumie hekima, kwa ajili ya kukuza demokrasia yetu na amani yetu na imani ya wananchi kwa taasisi zake za mamlaka na haki

Kupita bila kupingwa wakati kuna michezo ya kihuni inafanywa na wanaostahiki kusimamia haki nia aibu ya Taifa, Tume ilisaidie taifa katika hili isikubali shinikizo la watawala!
Imekuwa aibu kubwa kwa NEC na serikali jinsi uchaguzi huu mkuu unavyoendeshwa kishamba.
 
Magufuli alituahidi kuwa atahakikisha uchaguzi huu utakuwa huru na haki

Kwa jinsi anavyozunguuka kwenye nyumba za Ibada na anavyomtaja Mungu mara kwa mara tunataka kuona kweli ana hofu ya Mungu na hivyo atatimiza ahadi na kutenda haki au anatumia jina la Mungu kisiasa tu!
 
Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za taasisi muhimu za uchaguzi kufungwa.

Haya yote tunayotaarifiwa yanaumiza na yanasikitisha.

Lakini najiuliza kwa nini tume inaweza kubariki kuwanyima wananchi haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa kwa sababu ya technicalities ndogondogo tu ambazo wasiopenda demokrasia huzitumia kuvuruga mchakato wa uchaguzi?

Kwa nini NEC isione kuwa huu mchezo wa kupita bila kupingwa wakati kuna watu walichukua fomu za kuomba kugombea hapo awali ni mchezo wa kuigiza tu na Tume ihakikishe wananchi wanapewa fursa ya kuchagua mtu wamtakaye?

ubaya wa kubariki matendo haya ya kihuni ni wananchi kuanza kudharau chaguzi, ikifikia hatua hiyo, jamii inaweza kuwa radicalized katika uelekeo mbaya na nguvu hasi zikaenda kujaza ombwe.

Naiasa NEC, ikatae kabisa hii dhana kuwa kuna majimbo watu wamepita bila kupingwa ili kuhakikisha majimbo yote yana watu wanaogombea

Tume itumie hekima, kwa ajili ya kukuza demokrasia yetu na amani yetu na imani ya wananchi kwa taasisi zake za mamlaka na haki

Kupita bila kupingwa wakati kuna michezo ya kihuni inafanywa na wanaostahiki kusimamia haki nia aibu ya Taifa, Tume ilisaidie taifa katika hili isikubali shinikizo la watawala!
Mkuu usohofu, majibu yao watayapata very soon
 
Back
Top Bottom