Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Haaa hii ya Kwenye mtandaoniKuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama
Yule jamaa yenu wa Ukara mnachimbia lini?Haaa hii ya Kwenye mtandaoni
Hata Libya ilianzia kwenye mitandaoHaaa hii ya Kwenye mtandaoni
Ukiangalia kwa ujumla wake hiki kipengele cha mapingamizi si hovyo kiasi hicho. Imetoa fursa ya aliyewekewa pingamizi kujitetea. Pia Jaji wa tume anatakiwa atoe sababu za kumuengua mgombea uraisi baada ya kulidadavuwa hilo pingamizi. Si rahisi kivile kwa Jaji kumuengua mtu. Sema tatizo ni kuwa maamuzi ya Jaji ni ya mwisho na hayawezi kuhojiwa mahakamani!Hizi sheria ni za hovyo sana!
Sasa umeongea nini hapo.Ukiangalia kwa ujumla wake hiki kipengele cha mapingamizi si hovyo kiasi hicho. Imetoa fursa ya aliyewekewa pingamizi kujitetea. Pia Jaji wa tume anatakiwa atoe sababu za kumuengua mgombea uraisi baada ya kulidadavuwa hilo pingamizi. Si rahisi kivile kwa Jaji kumuengua mtu. Sema tatizo ni kuwa maamuzi ya Jaji ni ya mwisho na hayawezi kuhojiwa mahakamani!
Duh! Sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo (suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama. LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, Watz ni watu wastaarabu sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili, ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.Hata Libya ilianzia kwenye mitandao
😂😂😂 Yani nyie bn..!Kuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama
Endelea kuamini hivyo hivyo. Sudan miaka ya 90 walikuwa waoga hao, lakini muda ulifika wenyewe.Duh! Sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo( suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama. LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, watz ni watu wastaarabu sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili, ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.
Mkuu umeandika ukweli mtupu👏Duh..sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo( suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama...LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, watz ni watu wastaarabu Sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili...ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.
Hii sheria iko hivi hivi siku nyingi!
Ukiangalia kwa ujumla wake hiki kipengele cha mapingamizi si hovyo kiasi hicho. Imetoa fursa ya aliyewekewa pingamizi kujitetea. Pia Jaji wa tume anatakiwa atoe sababu za kumuengua mgombea uraisi baada ya kulidadavuwa hilo pingamizi. Si rahisi kivile kwa Jaji kumuengua mtu. Sema tatizo ni kuwa maamuzi ya Jaji ni ya mwisho na hayawezi kuhojiwa mahakamani!
Duh! Sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo (suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama. LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, Watz ni watu wastaarabu sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili, ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.
Wabunge 22 tayari wamewaponyoka!Yule jamaa yenu wa Ukara mnachimbia lini?