Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote...
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki...
1. Mapingamizi yaliyowekwa na Lissu ni matokeo ya tafsiri mbaya ya sheria iliyofanywa na Tume, tume inaongozwa na Jaji na wasomi wa Sheria. Je, wanafanya Nini huko ofisini? Unapotoa misleading...
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA...
Asalam aleykum
Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa...
Kwanini tume yako ya uchaguzi wanakuwa wazito hivyo kushughulikia uhuni wanaofanya wagombea wa CCM?
Je, hiyo ndiyo inayoitwa tume huru?
Unataka kila jimbo lenye mgogoro afe mtu ndipo uone kuna...
Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
Inadaiwa watu hao wamezingirwa baada...
Wasalaam,
Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu.
Napenda kutoa rai kwa wapiga kura...
Kwamba Benard Membe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Seif Sharrif Hamad ndio Wanasiasa Wakuu kwenye Ngome ya Upinzani?
Kwamba wakubaliane tu na kujipanga kwamba Benard Membe agombee Kiti cha Uraisi...
Kwa kweli namuonea huruma sana Rais wangu mpendwa mtetezi wa wanyonge John Joseph Magufuli. Namuonea huruma kwa usumbufu unaompata kwa tatizo ambalo angeweza kulidhibiti mapema. Tundu Lissu ni...
Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni...
Jimbo la Ilala linatajwa kuvamiwa na mwanasiasa Mpya na Kijana mwenye umri wa miaka 27 kutokea NCCR MAGEUZI. Nicolas Jovin Clinton ambaye pia ni Mwenyekiti wa KITENGO cha Vijana NCCR-MAGEUZI...
Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.
CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa...
Wanajukwaa salaam,
Kwa muda sasa wa wiki mbili nipo jimbo la Vunjo ambapo nilikuja kuona uzalishaji wa zao la vanila ukanda wa Kirua,Kilema,Marangu,Mamba na Mwika. Hali ya hewa ni baridi sana...
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya...
Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar.
Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia.
Niishie...
Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu
Msimamizi wa Uchaguzi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi.
Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.