Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

Inatakiwa mikoa 10 tu minimum, sio lazima yote. Maana ukiacha Zanzibar Kuna Kigoma, Kagera, katavi, Rukwa, Lindi, Mtwara, Ruvuma n.k ambalo hajafika.
 
Huko kwingine wadhamini wanajitokeza bila jamaa kwenda, mbona Jiwe na Membe hatuwaoni wakizunguka.
 
John, vipi JPM yeye alishaanza. Maana namuona yupo bize tu na wajumbe. Muda ndo unaisha huo.
 
Hatua njema. Tumekiri wenyewe pasi na shaka kuwa Tanganyika wanamshangilia.

Habari ndiyo hiyo.

Cc: jiwe, slow slow, bashiri, lb7.

Maendeleo hayana chama!
 
Back
Top Bottom