Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
613
1,776
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.

photo_2020-08-26_15-59-10.jpg
 
Ndio sasa waone raha ya mapingamizi na si kuwa na sheria, taratibu au kanuzi zinazoruhusu wagombea kufanya marekebisho au kupewa nafasi ya kujaza form nyingine na mapingamizi yabaki tu kwenye serious isssues kama za uraia, n.k na si makosa madogomadogo kama ya ujazaji fomu kwa usahihi.

Mchimba kisima huingia mwenyewe.
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
kaa kwa tulia sindano ikungie vizuri.

bora cdm wanatumia njia halali sio nyie mnatumia green guard kuteka form.
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Mungu wa Yacob na Isack akusamehe, hujafa hujaumbika ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom