Uchaguzi 2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,662
218,149
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.


 
Tuna mfano mzuri wa Ukara kisiwani, nendeni mkamzike mliyemtuma na muilipe fidia familia yake nyang'au nyie.
Inaweza kuwa kikundi kutoka wapinzani wake kwani huko wana Historia ya kupeana sumu ya mamba n.k
 
Mtoto wa shetani ni shetani pia. Ule uzoefu nunuax2 Meru
 
Kama mtu anaweza kuangushwa na konyagi kwa ulevi wake, alafu akatangazia dunia ameangushwa na wasiojulikana bila shaka hawezi kushindwa kutunga orodha feki ya watu kupita bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom