Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BAE Systems is to pay a fine of $400m (£250m) after pleading guilty to a charge of conspiring to make false statements to the US government. The UK's largest defence group has also reached...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu zangu Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyoofu. Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu, wote watakufa njaa. Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona majani, na yule...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bulyanhulu in Kahama – owned by Bulyanhulu Gold Mine Limited - 5th August 1994 - operations began in 2001- Capacity 450,000 Ounces Geita Gold Mine in Geita – owned by Anglogold-Ashanti from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
30 01 2010 SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kama yupo mtu anahisi anayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI imekiri kuwa mpaka kati ya Tanzania na Malawi ni suala lenye utata unaosababisha mvutano unaohitaji ufumbuzi wa haraka. Kukiri huko kulifanywa jana bungeni na Waziri Mkuu Mizengo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Namtaza JK akihutubia wana-CCM kwenye maadhimisho; kwakweli hiii pia ni moja ya hotuba chache nzuri za huyu jamaa, sikumbuki katika miezi kadhaa iliyopita kama ameweza kutoa hotuba ya namna hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sisemi kwa maana ya kuwatukana lakini kutokana na uzoefu wangu katika mambo ya afya ya akili (mental health) naweza kusema pasipo shaka kabisa kuwa kuna watu wanahitaji kupimwa na kupatiwa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwanza naamini kabisa Wakurugenzi katika taasisi za Utangazaji za UMMA aidha hawajui wajibu wao katika uendeshaji wa vyombo vya umma hapa nnchini. Nasema hayo kwasababu Mlimani TV na TBC Taifa /TV...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
..naona Mwanasheria Mkuu Jaji Werema kaamua kununua kesi ya Sophia Simba. ..Jaji Werema amesemai:"Kwa nini wanamsakama Waziri Simba, wanisakame mimi siyo Waziri." AG ahofu nchi kuwa na Rais...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu, "tulitarajia kuifunga" JF kwa muda wa masaa takribani mawili hivi, kwakuwa kuna kitu tunaweka sawa. Lakini kwa sasa kila kitu kitaendelea kama kawaida, kunaweza kuwa na errors, tafadhali...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
2010-02-04 23:52:00 Concern as banks' pending cases hit Sh1 trillion mark President Jakaya Kikwete with Chief Justice Augustino Ramadhani (left) and Speaker of the National Assembly Samuel Sitta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Bwana Pius Msekwa ameelezwa kutaka Spika wa bunge Mheshimiwa Samwel Sitta achukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na wabunge wote wanaounga mkono vita vya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu MWENYEKITI wa TLP, Augustine Mrema amesema Chama Cha Jamii (CCJ) kimeanzishwa ikiwa ni matokeo ya kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Joseph...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametaja nguzo kuu sita ambazo amesema kuwa zikitekelezwa ipasavyo zitaharakisha kasi ya maendeleo ya Bara la Afrika...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Date::2/4/2010JK acharuka, adai wenye nia mbaya na CCM wang'okeRamadhan Semtawa Mwananchii MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wanaokipeleka chama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania bila ngwe ya pili ya Kikwete...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Ray Naluyaga Congressman files a members statement to compel the US government to act An American Congressman wants President Barack Obama to put diplomatic pressure on the Kikwete...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or maybe you just don't know what you are really doing in the State House. But whatever it is, you are leading the nation in wrong...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu mwandishi kasomea uandishi au basi ni mwana maskani aliepewa kalamu na kuanza kudumaza akili za jamii? Kwa waandishi kama hawa kazi tunayo kweli kweli...:confused: Maridhiano ya Zanzibar...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…