Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Bwana Pius Msekwa ameelezwa kutaka Spika wa bunge Mheshimiwa Samwel Sitta achukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na wabunge wote wanaounga mkono vita vya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu MWENYEKITI wa TLP, Augustine Mrema amesema Chama Cha Jamii (CCJ) kimeanzishwa ikiwa ni matokeo ya kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Joseph...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametaja nguzo kuu sita ambazo amesema kuwa zikitekelezwa ipasavyo zitaharakisha kasi ya maendeleo ya Bara la Afrika...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Date::2/4/2010JK acharuka, adai wenye nia mbaya na CCM wang'okeRamadhan Semtawa Mwananchii MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wanaokipeleka chama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania bila ngwe ya pili ya Kikwete...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Ray Naluyaga Congressman files a members statement to compel the US government to act An American Congressman wants President Barack Obama to put diplomatic pressure on the Kikwete...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or maybe you just don't know what you are really doing in the State House. But whatever it is, you are leading the nation in wrong...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu mwandishi kasomea uandishi au basi ni mwana maskani aliepewa kalamu na kuanza kudumaza akili za jamii? Kwa waandishi kama hawa kazi tunayo kweli kweli...:confused: Maridhiano ya Zanzibar...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
http://www.youtube.com/watch?v=Y-7b9QbVJUo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kauli ya JK katika kampeni dhidi ya malaria. Najiuliza kizazi ni nini na kinaanzia na kumalizikia wapi. Kama ni vile ninavyofikiri, basi itatuchukua karne 4 kwa malaria kuisha, la sivyo, kauli...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, ameamriwa kulipa kiasi cha sh 7,072,000 ndani ya miezi mitatu kabla ya kuchukuliwa hatua zaidi. Amri ya kulipa fedha hizo ilitolewa jana na...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
I've got to give credit where credit is due. The Government has actually done a pretty good job here. This is what happens when they are serious, have a plan, a vision, think ahead and implement...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
na Deogratius Temba MWELEKEO wa Chama cha Wananchi (CUF) kufanikiwa katika jitihada za kupata nafasi ya kushika madaraka, huenda ukagonga mwamba kutokana na uamuzi wa Baraza la Wawakilishi kutaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unajua tatizo moja la kupenda kuzungusha watendaji (recycling) ni kuwa unaweza ukafika mahali ukakuta hauna watu wa kuwazungusha tena. Sasa inabidi utegee tu. Kuna katabia ambako kamekubalika kuwa...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Naomba kuwakilisha hoja tuchemshe Bongo na kufanya tathmini ya Watanganyika na Tanganyika tangu mwaka 1400 hadi mwaka 1945. Naomba radhi kwa Watanzania wenzangu wa Zanzibar, kwa kuwatenga katika...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Sheria ya vyama vya siasa Tanzania inaruhusu kila chama kupata ruzuku kutoka serikalini kwa kufuata uwiano wa idadia ya wabunge watokanao na chama kile. Kama chama hakina wabunge kabisa basi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miradi kama ule wa uwanja wa ndege wa Songwe, barabara ya Tunduma Sumbawanga, hakika haina majibu. Kama ni fedha zilikwisha tolewa lakini sijui zimeelekezwa wapi? CCM hakika ina chuki sana na mkoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa . Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete. My...
0 Reactions
111 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…