Kwanini Miradi ya Kimaendeleo Mkoani Mbeya Inatelekezwa?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Miradi kama ule wa uwanja wa ndege wa Songwe, barabara ya Tunduma Sumbawanga, hakika haina majibu.
Kama ni fedha zilikwisha tolewa lakini sijui zimeelekezwa wapi?
CCM hakika ina chuki sana na mkoa wetu huu.
Ndio maana wananchi wanakuwa na hasira na viongozi wa juu kiasi cha kuwazibia njia na kuwapiga kwa mawe.
 
Ndugu yangu wacha kulalamika. Kwa nini kila kitu mnahusisha siasa????
Nimepita pale songwe nikitokea swanga na nimeshuhudia kazi full mziki [hebu nenda kama uko mbeya]
Kuhusu tunduma-swanga huu siyo mradi unaoendeshwa na serikali ule mfuko wa MCC ndiyo unatoa tenda unachagua kampuni na kazi zote hizo zimemalizika na inategemewa katika kipindi kifupi kazi ya ujenzi kuanza Soko la mwanjelwa litaanza kujengwa katika kipindi cha miezi2 [source magazeti ya tz]
Kabla ya kuanza kulalama utafiti unasaidia kujibu baadhi ya mambo
 
Na hayo mawe hawakipiga viongozi kwa sababu hizo bali ni disappointment ya kungoja na kutaka kuongea na rais wao. Endelea kuchukia lakini usipakazie mkoa wa mbeya.
 
Kama pesa zimeshatolewa ina maana kuna mtu mahali ambaye ndiyo anakwamisha huo mradi kwa maslahi yake mwenyewe, ukiilaumu sisiemu kama taasisi utakuwa unakosea mkuu kwa uzembe/uroho wa mtu mmoja au kikundi fulani (walaji wa fedha zilizokwisha idhinishwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wenyewe)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom