Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake...
𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗡𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗢𝗛𝗘𝗦𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜
Kuna nyakati ambapo picha moja haiwezi kueleza falsafa nzima ya uongozi, lakini inaweza kutupa nafasi ya kutafakari kwa kina kuhusu uongozi, unyenyekevu...
Na Joseph Mahumi na Peter Haule, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo.
Nikiangalia mwenendo wa mambo...
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN MNYIKA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 1.
Kesi inasomwa na Karani wa Mahakama: CRIMINAL SESSION, kesi namba Tundu Antipas Lissu dhidi ya Jamhuri.
Wakili wa Serikali...
UZALENDO HAUNA VIPANDE
Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri.
Lakini uzalendo huu unaweza...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao...
Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu .
Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia...
Huyu jamaa sijui ana cheo Gani ila kwa bahati mbaya nimepita kwenye social media nikakutana na clip yake akimzungumzia Tundu Lissu.
Kiukweli nimekaa kama nusu sasa nikijiuliza huyu lissu ana...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura, amezindua kampeni ya msamaha wa usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari, 2026 jijini Dodoma, akiwahimiza wananchi kutumia fursa hiyo...
Lucius Domitius Aurelianus,
Hili ni jina kubwa mno kwenye historia ya dunia: Huyu alikuwa ni jemedari mahiri kabisa wa vita (Impeator) na baadaye akaja kuwa mfalme wa bora wa Dola la Roma...
1. Wasaidizi wanaokushauri ujirekebishe; list ni ndefu hapa tunaweza kuwataja akina Bashiru, Ndugai, Polepole, Makamba, Simbachawene, Majaliwa, Philip Mpango na leo hii Nchimbi.
2. Mataifa ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali...
Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba...
Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM.
Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima...
Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!.
Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama...
Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM.
Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima...
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.