Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania na Serbia zimekubaliana kuanzisha Tume ya Pamoja ya Uchumi kwa lengo la kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa...
1 Reactions
0 Replies
23 Views
Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati...
24 Reactions
164 Replies
14K Views
Hapo VIP! Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka. Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea...
2 Reactions
12 Replies
166 Views
Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
7 Reactions
108 Replies
1K Views
sunbathing on a glorified sandbox Don't confuse having a coastline with having real power. Britanicca
20 Reactions
63 Replies
2K Views
Akizungumza kuhusu ujio wa Emmanuel Nchimbi baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba amesema Nchimbi si mtu mgeni kwake na kwamba tayari alikuwa akimfahamu...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Dini, kabila, kanda, rangi na asili ya mtu ni sehemu muhimu ya utambulisho na maisha ya watu wengi. Tofauti hizi zimekuwa na nafasi kubwa katika kujenga maadili, tamaduni, mshikamano, huruma na...
0 Reactions
2 Replies
55 Views
Hili ndio swali kabambe ambalo Chawa na Wachumia tumbo wa ccm na wengine wote wanapaswa kujiuliza. Kutekwa na kupotezwa kwa Nchimbi AMBAYe ameanzia UVCCM hadi kuwa Katibu Mkuu wa CCM huku...
23 Reactions
51 Replies
1K Views
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane Pamoja na kwamba dada Samia...
8 Reactions
16 Replies
353 Views
2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
3 Reactions
13 Replies
192 Views
Anchoongea Waziri Katambi kwa maandishi Kuna ambo wana kauli za ajabu kwenye vyombo vya habari. Tutachukua hatua pale mtaakapovunja sheria. Lekini hatutaishia hapo tu. Na hii haivunji na...
2 Reactions
7 Replies
241 Views
Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake. Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi...
0 Reactions
4 Replies
69 Views
Chama cha siasa kinafanya vikao kumvua uanachama mwanachama aliyeishangaza kuachana na siasa! Usicheze na mtu anayekuzi akili. Jamaa kuwapiga tobo
3 Reactions
5 Replies
134 Views
Moja ya simulizi mbaya kutoka Uganda kuingia Kagera ni ugonjwa wa ukimwi miaka ya 1980, ILA kilichokuja kusaidia kupunguza kwa maradhi hayo kuenea ni uwepo wa Kinga zilizojulikana kama "ojware"...
8 Reactions
12 Replies
376 Views
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”? Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana: “Tunataka katika taifa hili vijana waasi...
4 Reactions
4 Replies
118 Views
Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa...
67 Reactions
81 Replies
6K Views
Kwa tafsiri hii sasa ni wazi huyo @timdraper Tim Draper anayedai kuuza kisiwa chake LUPITA anajichekesha . Hata kama yeye ndiye alitoa fedha kujenga na kuwekeza huko LUPITA ,ila alitumia Kampuni...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi. Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu...
10 Reactions
33 Replies
436 Views
Kumbe judge Mutungi na msaidizi wake walielezwa kinagaubaga kuwa CHADEMA itaendesha kampeni nchi nzima juu ya no reform no election na akaridhia kuwa haina shida wala haiko kinyume cha sheria...
2 Reactions
1 Replies
128 Views
Friends and Our Enemies, Katika pita pita yangu leo nimemkumbuka marehem Deo Filikunjombe pale alipokawa anahitimisha kuwasilisha ripoti yake kuhusu yale majizi ya fedha za wizi za escrow ambapo...
6 Reactions
51 Replies
669 Views
Back
Top Bottom