Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mashariki ccm 16200 chadema 9984 appt maendeleo 125 magharibi ccm 12659 chadema 3969
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hongera dada Halima kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kawe. Kwa jinsi nilivyokufahamu kwa muda mfupi ninahakika wananchi wa kawe hatajutia uamuzi wao. Nakutakia kila la kheri na pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana Livingstone Lusinde (Kibajaji) aliyemuangusha John Samwel Nigwiyemisi Malecela kwenye kura za maoni za CCM ameshinda Ubunge wa Mtera. Livingstone Lusinde - CCM - 23,612 Lameck Lubote -...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye data za matokeo ya uraisi mpaka sasa aziweke jamvini:peep:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia Chenge kaangushwa huko Bariadi, na jimbo limeenda CHADEMA...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
CCM imeiba uchaguzi Zanzibar. Kwa nini Seif anakubali matokeo wakati kihesabu CUF ndiyo walioshinda? Angalia kura za watu waliojindikisha kupiga kura na waliopiga kura utaona kuna wizi uliotokea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hii nimeipata from a man close to SUGU kuwa Ataachia album kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi wa Mbeya kwa Kumchagua kuwa MBUNGE wao.......Kama kawaida ya mtu wa HipHop lazima kutakuwa na mawe ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
John Momose Cheyo ameshinda ubunge Bariadi Mashariki, live from wapo radio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Source ITV: Naomba MAKAMBA aje atueleze zile kauli kuwa Dr. Slaa alikimbilia kugombea urais ili kukwepa aibu ya kushindwa na CCM huko KARATU. People's POWER. KARATU NI CHADEMA!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namshauri Dr.Slaa kufuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi kupitia kwa mawakala wake na kulinganisha na matokeo ya tume na baadaye ayatolee ufafanuzi.Pia namshauri aendelee kukaa kimya na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hakika Mpesya umepata fundisho kubwa sana, kitendo cha kuwafanya wapiga kura wa jimbo la mbeya wajinga umefika kikomo, ulisema Sugu ni muhuni mtoto wa mama lakini tambua kuwa wana Mbeya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nafkiri atakubaliana nami jinsi matokeo yalivyokuwa wazi. sio sasa hivi.....yale ndio yalikuwa matokeo bwana. SLAA tuko pamoja brother. mungu anasikia kilio cha wengi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sote tunajua kuwa given the fact that miji yote mikubwa imechukuliwa na opposition there are a few assumptions to make: 1.If the rulling pary is gonna be CCM then dont expect maendeleo in your...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Well some got to say it.. Akoonay has almost 40,000 votes against under 20,000!!!
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Biaramulo chadema wamechukua
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nimefurahishwa sana na uamuzi wa wananchi katika majimbo mbalimbali kwa kusema hapana kwa mafisadi.ccm ijifunze kwa miaka mitano inayokuja tofauti watakiona cha moto 2015.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…