Elections 2010 Bwana mapesa kidedea bariadi mashariki!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
John Momose Cheyo ameshinda ubunge Bariadi Mashariki, live from wapo radio...
 
John Momose Cheyo ameshinda ubunge Bariadi Mashariki, live from wapo radio...

Niliposia Bw. Mapesa nikadhani Vijisenti. Roho kidogo iende kwao. Huyu naye Bw. mara naunga mkono, mara naunga mguu....ajirekebishe.
 
Tume wametangaza rasmi, nashindwa kunakili data kwa sasa ila matokeo ni rasmi
 
Data please. Kuna watu tunajumlisha kura zilizoenda kwa wabunge tuweze kupata estimate ya kura za rais. Tuna mashaka na hiyo asilimia 78.4 ambayo CCM wameshajitangazia. Unajua hawa jamaa wanadhalau sana Watanzania. They think this country belongs only to CCM.
 
Bariadi mashariki:
John Cheyo: UDP 38,000+
Makondo: CCM 33,148

Bariadi Magharibi
Chenge: CCM 50,107

Isack Cheyo: UDP 3,428
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom