Elections 2010 Channel ten wamepigwa stop?

kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,716
999
CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem wameshawapiga stop?
 
Tayari CCM wameshapata pressure kwani wanajua yakishajulikana watu wanajumlisha kabisa wanakaa nayo wasubiri NEC watoe mengine wamtoe mtu manundu!
 
nadhani ndo hivyo, kama CCM wana kikao sasa hivi ni lazima wastop hilo... pia TBC1 watafuatia...
 
CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem wameshawapiga stop?
hapana mkuu wanaanza saa tatu
 
nadhani ndo hivyo, kama CCM wana kikao sasa hivi ni lazima wastop hilo... pia TBC1 watafuatia...
Duuh,hawajamaa mikosi,kama mchakachuo upo ktk sura hii,basi watatuumiza,huku maeneo ya kupigia kura kwa mh.tarimba naona wanachakachua kwa kutuzimia umeme.Haya bana!!
 
Nafikiri historia ya Zenji mwaka 1995 itajirudia, maana kituo kimoja cha TV kilitupa matokeo live. Kikapigwa mkwara halafu matokeo yakabadilishwa
 
Mwenyezi mungu ameamua kuchukua jukumu la kutukomboa kutoka mikono ya manyang'au jamani tusilale tuendelee kuomba Mungu mpaka kieleweke
 
Msihofu, Star TV na Mlimani wanaendelea na kumwaga mambo; hivi sasa wapo katika vituo vya Mkoa wa Manyara; chadema inafanya vizuri kwa upande wa urais
 
Back
Top Bottom