Hamjambo!
Huyu jamaa bhana. Kiukweli wengi hata wasiompenda, au wanaomuona kama kikwazo. Na wale wanaompenda. Wote tunakubaliana jambo moja, huyu jamaa sio level zetu hasa kimsimamo.
Ni watu...
Gödel's Loophole (Shimo la Sheria la Gödel) ni kasoro au uwazi katika Katiba ya Marekani uliogunduliwa na mwanahisabati na mwanafikra mashuhuri Kurt Gödel mnamo mwaka 1947. Gödel aligundua kuwa...
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli
Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa +...
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti.
Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana...
Mkutano na Waandishi wa Habari
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El...
Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana...
Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
Nje ya nchi gazeti la economics...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika mhadhara wa umma uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, ameisifu...
Watu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi...
Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha...
" Kama unazungumza harakati za Mandela, unazungumza harakati za Mwalimu, unazilinganisha na nani hapa?
Hizi harakati hizi za mtu unasema uongo alafu unalipwa, hizo harakati gani?
Harakati za kina...
Biblia inafundisha kwamba wakati wa taharuki waumini wanapaswa kusali.
Inaanza na Wayahudi usiku ule kabla hawajaondika Misri.
Bwana Mungu alikaa macho usiku kucha akiwalinda.
Kwa hiyo wakaamriwa...
Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe.
Hivi kweli akili ya...
Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila...