January Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%.
Lakini kwa bahati mbaya kwa yale...
SHAMSIA AZIZ MTAMBA ALIVYOSEPA NA KIJIJI MTWARA VIJIJINI
Mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini Mhe. Shamsia Aziz Mtamba ameimamisha Mtwara Vijijini kwa kukusanya wananchi wa Jimbo hilo...
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana...
Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia...
Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA...
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy...
Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli...
Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia...
Watanzania wanataka ;-
Hali bora za maisha.
Ajira
Biashara zao zifufuke na kukua
Mzunguko wa fedha uwe mzuri
Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga...
Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana...
Wakati wa chama kimoja kulikuwa hakuna mgombea yoyote anayeweza kupita bila kupingwa.
Wakati wa chama kimoja kulikuwa na kura ya ndio au hapana.
Je, inakuwaje kipindi hiki cha mfumo wa vyama...
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi...
Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni...
Napenda kuwapa somo dogo ndugu zangu wa CHADEMA kwa kuwa mnaendelea kujifunza siasa.
Kuna msemo wa kiswahili unaoonya kuhusu kumuiga Tembo Kunya....Mtamalizia wenyewe!!
Nimefuatilia mara kadhaa...
Kama mtu ataamini kwamba akipora fomu au kumteka Mgombea mwenzake basi atakuwa amepita bila ya kupingwa, hiyo inajenga tabia ya kihalifu.
Wanasiasa wenye woga wa kushindana na wanasiasa hutukia...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika...
Macho yote yako tume ya uchaguzi chini ya jaji Kaijage mziki huu school mate wangu kihamia asingeuweza kamwe. So far tume inafanya vema. Si vibaya kwa hatua hii kutoa pongezi za awali.
Kuna mambo...
Siasa zina mbinu nyingi katika ushindi. Moja ya mbinu ni kujua adui wako ana silaha za aina gani kabla haujaingia kwenye mapambano!
Kwa mfano, Miaka ya nyuma, wapinzani walikuwa wanasubiri kwanza...
APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi:
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.