Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,836
- 7,492
Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA kuchukua hatua kiholela na kujiingiza kwenye mtego wa Dola.
Zile press conference za Corona zilipaswa kufanyika katika masakata haya. Inawezekana mwenyekiti yupo Hai akipigania Ubunge huu ni udhaifu mkubwa. Bora Mnyika kajitambua.
Ubunge wa Mbowe utasababisha kukosekana viti zaidi ya 20 vya ubunge na mamia ya viti vya udiwani. CHADEMA ni Chama kikubwa, Mbowe alipaswa kusimamia kwa karibu zoezi la uchaguzi badala ya kutamani ubunge.