Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
78,169
2,000
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi 70% inaendelea tena , na leo ikiwa ni zamu ya Jimbo la Tabata Segerea.

Instagram media - CEgAYjrpu54 ( 762 X 640 ).jpg


UPDATES
Tabata Liwiti - Segerea
Mgombea Urais wa Chadema Mhe @TunduALissu akisalimiana Viongozi wa Chadema jimbo ( 451 X 640 ).jpg
Subpost 1 - - Segerea ( 451 X 640 ).jpg


Subpost 2 - Mkutano wa Mh Lissu viwanja vya Liwiti Segerea.  OFA INAISHA LEO!  K ( 451 X 640 ).jpg
 

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,067
2,000
kwa macho yako unavyoona unadhani Chadema inakata roho ? kuwa mkweli
Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujawa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,175
2,000
Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujwa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
Chadema wenyewe wanapenda faulo wanaambiwa semeni sera zenu wanaporomosha matusi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom