Hali si shwari kwa wakazi wa nyumba za AICC, Hii ni nakala ya barua waliyoituma kwa rais huku wakiipitisha nakala ngazi mbalimbali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania
Mhe. Jakaya Mrisho...
Waandishi Wetu
Mwananchi
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC), wakati ambao bodi hiyo ilikuwa ikisubiri kupokea...
jamani waungwana naomba kidogo kuuliza swali, hivi kwanini tuna sherehea kufa kwa nyerere????!
kufa kwake kumetusaidia nini sisi kama watanzania??labda useme kumewasaidia viongozi mana naona saiv...
Kampuni kubwa kabisa ya uchimbaji madini nchini Zimbabwe "RIO TINTO"
imeridhia yenyeeeewe kurelease 51% ya ownership kwa indigineous
Zimbabweans kutokana na political agenda ya indigination of...
CCM ilivyo sasa imepungukiwa na upeo wa kuona mambo na kudhani kuwa wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii na Rais lazima atoke ndani ya CCM ndio maana badala ya kutatua kero za...
Vitabu alivyoandika Mwalimu Nyerere vinatumiwa shuleni? Jibu ni kuwa sijui. Sidhani. Kwa jinsi ninavyojua nchi yangu, sidhani. Utasikia watu wakisema Nyerere Baba wa Taifa lakini ukiwauliza maana...
Ee mungu baba.. muumba mbingu na nchi tunajua kumwombea mwanzako kifo sio kitu kizuri ila tunakuomba ee mwenyezi mungu ukiue vibaya chama cha mapindunzi(ccm)kife na kisifufuke teena.AMEN
Ndugu Watanzania, wana JF.. na wapenzi wazalendo woote wa nchi yangu.. sitakuwepo jamvini kwa kitambo kidogo, ila napenda threads yangu Isomeke.. CCM haiko tayari kuona nchi inachukuliwa na...
Ndugu zetu majirani wa Kenya waliamua kuandika KATIBA yao upya, na kuweka vipengele vipya, lengo lake kubwa likiwa ni kupanua DEMOKRASIA nchini mwao. Katika kufanikisha hilo waliamua kupunguza...
Baada ya kuteua wakuu wa mikoa wiki chache zilizopita, Rais amewabadili kinyemela, wakuu wa mikoa ya Lindi na Shinyanga! wakati huo huo Nape Nauye, DC wa Masasi anasikika akiwa nje ya kituo...
Wednesday, 12 October 2011 21:03
Fredy Azzah
UMOJA wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni za Biashara nchini umesema serikali imeanza kujiingiza kwenye biashara kwa kasi kwa kuanzisha kampuni...
Habari wanaJF
Mimi ni mwanachama CCM wa siku nyingi lakini sio vibaya nikitoa maoni yangu kwa wajumbe wa kamti kuu.
Mtu legelege uzaa mtoto legelege, serikali legelege uzaa viongozi legelege...
kila siku tukisikia mambo ya wenzetu kenya kuhusu siasa na demokrasia yao na hivi karibuni Zambia sisi watanzania wapenda maendeleo ya kisiasa ambayo ni chachu ya maendeleo ya kiuchumi, tunabaki...
Kumbe kuna tofauti ya bakwata na bakwacha nazo ni 1. Bakwata ni baraza kuu la waislamu tanzania wakati bakwacha ni baraza kuu la waislamu wa chama cha mapinduzi. 2. Bakwata wanashughulika na dini...
MAHAKAMA kuu ya kanda ya Mwanza itaanza kusikiliza shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita katika jimbo la Ilemela ambayo yalimpa ushindi mbunge Highness Samson (Chadema) dhidi ya...
Watano wauawa mapigano kati ya Wasonjo, Wamasai
Na Charles Ngereza
13th October 2011
B-pepe
Chapa
Maoni
WATU watano wa jamii ya Kimasai, wameuawa katika mapigano...
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini...
Nchi hii, Tanzania, ni yetu wote bila kujali rangi, dini, kabila, itikadi, jinsia wala nini sijui.
wote tunahaki ya kula, kufaudu na kufurahia mema yote aliyotukirimia Mwenye
Mungu katika Mipaka...
Ni saa chache zimesalia kufikia siku ya kumkumbuka baba wa Taifa mwl Julius Nyerere,japo si vema kumuenzi siku moja,lakini kuwepo siku hiyo ni kuonyesha kumjali ikiwa tafakuri zake zitafanyiwa...
Wakati wengine wakisherehekea CCM kuchukua igunga ingawa sisi pia ni CCM lakini tumepata pigo kubwa sana kwani tumepoteza mshirika wetu katika jimbo la igunga na aliyeingia Dr kafumu sio mshirika...