Kwanini tunasherekea kufa kwa JK Nyerere????

Madcheda

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
422
68
jamani waungwana naomba kidogo kuuliza swali, hivi kwanini tuna sherehea kufa kwa nyerere????!
kufa kwake kumetusaidia nini sisi kama watanzania??labda useme kumewasaidia viongozi mana naona saiv watu wamejiachia wanaiba na kufanya ujinga wote bila kumuogopa mtu, atlist alipokuwepo watu walikua wanaogopa kufanya mambo ya kijina.

me nasema hivi watu walioweka siku ya kufa nyerere kama siku ya kukubwa kwake, basi ndo hao wanaofaidika na kifo chake kwa njia ya ufisadi na nini. Ila kwa watu kama sisi wa kawaida nazan tungekua tunasherekea siku yake ya kuzaliwa kwa sababu kuzaliwa kwake kuna maana zaidi kuliko kufa kwake. hata nchi za wenzetu kama marekani na south africa wanawakumbuka viongozi wao kwa siku zao za kuzaliwa na si kifo,mfn martin luther king jr day inasherekewa siku yake ya kuzaliwa na si kufa.

ni mtazamo tu
 
Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
491
47

Inaonekana hata baba yako akifariki dunia huwezi kufanya arobaini,
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,244
35,228
msafara wa nyerere.jpg

R.I.P Baba wa Taifa
 
Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,287
125
serikali ndiyo imeamuawa kuweka adhimisho hilo ili wapumzike na kupunguza siku za uzalishaji kwa maendeleo ya taifa,sioni manufaa yoyote kuwa na siku kama hii.ukizingatia mabo aliyoyafanya hayaenziwi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom