Siasa imeanza kulipa zimbabwe-inawezekana hapa pia

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,636
Kampuni kubwa kabisa ya uchimbaji madini nchini Zimbabwe "RIO TINTO"
imeridhia yenyeeeewe kurelease 51% ya ownership kwa indigineous
Zimbabweans kutokana na political agenda ya indigination of the mining
sector nchini humo.

Ninaamini kwamba hii itampa Julius Malema nguvu ya UMA ya kufanikisha
agenda hii katika Africa ya Kusini.

Tanzania, Najua kikwete bado analalamika kwamba Mirahaba ni kidogo,
badala ya kuangalia ownership structure ambayo ndio issue inayoweza
kutusaidia sio tu kusimamia uchumi wetu katika sekta hiyo kizarendo zaidi
bali kuongeza pato la taifa mara dufu ya tunavyopigia kelele kwenye
strictfulness kwenye makato ya kodi

Source hii hapa
allAfrica.com: Zimbabwe: Rio Tinto Agrees to 51 Percent Share Handover
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom