Ibara 9(J): Nape Nnauye na falsafa za ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ibara 9(J): Nape Nnauye na falsafa za ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, May 23, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Habari wanaJF

  Mimi ni mwanachama CCM wa siku nyingi lakini sio vibaya nikitoa maoni yangu kwa wajumbe wa kamti kuu.

  Mtu legelege uzaa mtoto legelege, serikali legelege uzaa viongozi legelege, chama legelege uzaa wanachama legelege. Nimebahatika kumsikiliza Nape nnauye akiwa Jukwaani, akiongea na waandishi wa Habari na kusoma anayoandika katika mtandao ya kijamii mojawapo ukiwa JF. Wananchi walikuwa wameanza kuwa na imani na nyie lakini mambo yanavyokwenda mnaweza msifike mbali. nanukuu matamshi ya nape nnauye " ccm kuna mafisadi tumewapa siku 90 wajipime wafanye maamuzi'

  Hii haiingii akilini kwa kiongozi kujuwa kuwa kuna mafisadi arafu anawambia wenyewe wapime, huu sio uhungwana

  Kabla ya kujenga Hoja yangu, Je mahakama za Tanzania haifanyi kazi? zinazalauliwa?

  Ibara ya 9(j) inasema hivi


  " kwamba shughuli za uchumi haziendeshwi kwa njia zinazoweza kusababisha ulimbikizaji wa mali au njia kuu za uchumi katika mamlaka ya watu wachache binafsi"

  Ibara ya 27 (2)

  "Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri mali ya mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifuna ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao"


  Sisi wanachama wadogo tunaumia sana kwa mienendo hii maana hapa kwa TANZANIA HAKUNA HAJA YA KUWA NA MAHAKAMA.


  KAMA HII ILIKUWA DAGANYA TOTO TWAMBIE TUJUE NA SISI TUFANYE MAAMUZI YA KUTAFUTA UANACHAMA KWINGINE

  Mungu Ibariki Tanzania
  Mungu mbariki Rais wetu

  Mungu wabarike wasaidizi wake

   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jeykey, Pole sana kwa kuamini kwamba sumu ya nyoka iko kwenye gamba!
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ibala hizo ni za katiba?na kama za katiba ni ya CCM au CDM!!Please clarify it to make it clear!!
   
 4. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na usisahau kuwa bosi wake yaani JK ameshasema kuwa mambo anayosimamia na kuyasema Nape Nnauye si yake ni ya Chama. Aliyasema hayo mbele ya macho yangu Diamond Jubilee wakati wa pasaka.
   
 5. U

  UMMATI Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu cdm na wenzako wasiopungua 10,000. Call 0784583330
   
 6. U

  UMMATI Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usingoje gamba likutoke baba hamia huku
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  tatizo sio kuhama bali kujenga chama chetu
   
 8. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kama badala ya kujenga wengine wanabomoa tufanyeje? SIo kosa la Nape ila la NEC iliyotoa siku 90 na Mwenyekiti wenu kukiri ni msimamo wa Chama ukiwemo wewe. Hata kule Dodoma kwenye semina elekezi si aliwapa Mawaziri na watendaji wengine wajiondoe wenyewe as If walijiweka wenyewe katika nyadhifa zao. Hakuna jipya hapo mjomba
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Na wewe Jey key unamkosaoa Nape?

  Aisee Nape inabidi ajiangalie mara Mbili!!!
   
 10. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Aaha haaa. Leo nimecheka gazeti la mwananchi. Mukama amesema uvccm Arusha hawatakiwi kuwafukuza mapacha 3. Hiyo kazi hawaiwezi wawachie wakubwa wao. Sasa mbona hao wakubwa wameshindwa kuwaondoa. Kiukweli viongozi ccm wanakiua chama cha babu yangu. Jamani Mkuma waachie hawa vijana wakomae na mapacha 3 wanaweza kuwaengua, wakubwa wanawaogopa wanacho kifanya ni kurushiana mpira. Angalieni mnazidi kupoteza vijana.
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa ukitoka nani atabaki?
   
Loading...