Kikwete: Malalamiko AICC

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,748
30,046
Hali si shwari kwa wakazi wa nyumba za AICC, Hii ni nakala ya barua waliyoituma kwa rais huku wakiipitisha nakala ngazi mbalimbali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

S.L.P.

IKULU

Dar Es Salaam.YAH: MALALAMIKO YA BAADHI YA WAKAAZI WANAOISHI NYUMBA ZA AICC – SOWETO KUVUNJWA NA KUJENGWA JENGO LA BIASHARA.


Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.


Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, kwa heshima na taadhima kubwa sana, sisi baadhi ya wakaazi tunaoishi kama wapangaji nyumba za AICC eneo la Soweto tumepata adha ambayo tumeona ni vyema kilio chetu hiki tukulilie wewe ili uweze kutusaidia au kuingilia kati....
Soma barua kamili bofya attachment...
 

Attachments

  • Malalamiko AICC.doc
    54 KB · Views: 149
Sidhani kama wanaweza kupata msaada wowote kutoka huko walikopeleka barua hii. Sababu kubwa ni kwamba ARUSHA ni Jiji la Chadema hivyo watafumba macho kama vile malalamiko hayakuwafikia. Dawa ni kuipeleka kwa Kamanda Lema akasemenao Bungeni.
 
Back
Top Bottom