Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye...
13 Reactions
40 Replies
449 Views
Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimemkataa Katibu wa mkoa huo Donald Felix Mwembe aliyesema kuwa chama hicho kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake John Heche kinatakiwa...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri...
1 Reactions
3 Replies
74 Views
Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali...
3 Reactions
8 Replies
312 Views
Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea...
29 Reactions
261 Replies
8K Views
Kabla ya kuanza kampeni, Nchimbi alifika ghafla hapa nyumbani. Nikatoka kutazama amefuata nini Nikaona padre wa Kikristu alikuwa ameitwa hapa kumbariki Nchimbi. Yule padre akafanya maombi...
11 Reactions
21 Replies
635 Views
Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni miongoni mwa Watanzania wazalendo wa nchi yangu, ambaye japo ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini tunapokuja kwenye kutanguliza mbele maslahi ya...
60 Reactions
261 Replies
35K Views
Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni...
22 Reactions
122 Replies
13K Views
Akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala aliowateua na kuwabadilishia vituo vya kazi Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
https://vt.tiktok.com/ZS4J6KuBH/ Soon veri soon....
19 Reactions
94 Replies
3K Views
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM. Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania. Sasa...
33 Reactions
97 Replies
5K Views
Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki...
9 Reactions
19 Replies
325 Views
Kati ya Septemba 5 -7 2025, JamiiForums ilipita changamoto mbalimbali huku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa...
209 Reactions
318 Replies
14K Views
Huku kwetu Tandika Mwembe Yanga, Temeke na sasa hata Mbagala, kuna Kampeni kali ya Kusambaza No Reforms No Election. Mwanzo sikuelewa msingi wa malalamiko ya Mama Lishe hao, Maana nilisikia hela...
46 Reactions
119 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha...
50 Reactions
111 Replies
8K Views
Aise mimi nimeamua kutake-care of myself mapema sanaaaa! Hali si hali wakuu tupo hatarini kitekwa, kuteswa na kuuawa, tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunapojisaidia...
32 Reactions
43 Replies
2K Views
CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga...
2 Reactions
22 Replies
193 Views
Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
8 Reactions
13 Replies
389 Views
Tahadhari! Uhamisho wa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Uzingatiwe Mara Moja Mkoa wa Kilimanjaro unahitaji uongozi wa kisiasa unaojenga umoja, unaosikiliza wanachama, unaoheshimu taratibu za...
0 Reactions
3 Replies
130 Views
Back
Top Bottom