Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatujasikia wakisema Samia na Nchimbi wachunguzwe walivyozitumia, leo million 300 tu press kila kona. Wachimba Madini walichanga bilioni 16. Kampuni ya GSM bilioni 10. CCM Zanzibar bilioni 4 na...
6 Reactions
12 Replies
287 Views
Hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alitoa tuhuma nzito za ufisadi kwenye uagizaji wa mafuta hapa nchini huku akihusisha kampuni moja inayouza mafuta katika nchi mbalimbali...
11 Reactions
25 Replies
532 Views
  • Redirect
Aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda na mwanasiasa mkongwe, Jenerali Moses Ali, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 wakati akipatiwa matibabu.
1 Reactions
Replies
Views
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, akizungumza Julai 17, 2026, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
2 Reactions
8 Replies
243 Views
Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake. Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo...
3 Reactions
7 Replies
74 Views
Kwasababu Ni wazi kutakua na casualties za kisiasa, kijamii na kiuchumi zitakazotokea, kama matokeo ya vita vya maneno ambavyo ni dhahiri vinaelekea kua vita ya zaidi ya vitendo hasa baina ya timu...
2 Reactions
23 Replies
207 Views
Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo...
2 Reactions
6 Replies
110 Views
Kwa sasa kwenye Ulimwengu wa siasa za Tanzania CCM kwa nguvu zote wanapambana na Chadema. Kitu kimoja wanachokosea ni kutaka kukidhohofisha na kukifuta kabisa chama hiki. Hili ni kosa kubwa...
11 Reactions
15 Replies
338 Views
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa. Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema...
7 Reactions
17 Replies
195 Views
Siasa zimekuwa sumu inayoua utaifa wetu kimya kimya kuja kushituka tutajikuta mateka kati yetu wenyewe Leo vyuo vikuu vimekuwa wazalishaji wakubwa wa machawa badala ya wataalamu Vijana wengi...
1 Reactions
12 Replies
160 Views
Hamjambo! Moja ya biashara kubwa inayoendelea duniani ni Ukoloni mamboleo. Yaani kutawala nchi nyingine kiuchumi indirectly pasipo wananchi wengi kujua nchi zao zinatawaliwa. Hiyo inakuwa siri ya...
4 Reactions
14 Replies
190 Views
Makala maalum toka maktaba ya JF: https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626 KURUDISHA UHURU WA...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana...
7 Reactions
99 Replies
2K Views
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa...
1 Reactions
79 Replies
637 Views
Wawakilishi wa Azaki Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kuwa hali ya usalama, amani, haki na uwajibikaji nchini imekuwa tete tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025...
2 Reactions
6 Replies
271 Views
Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu. Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao...
16 Reactions
47 Replies
636 Views
Hii ni Dodoma
12 Reactions
14 Replies
534 Views
MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi. Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common...
17 Reactions
31 Replies
573 Views
Back
Top Bottom