Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi...
2 Reactions
35 Replies
522 Views
■Dkt.Samia avuka matarajio ya wengi ■Rais Samia: Msiwapige wafanyabiashara wadogo, wasimamieni, asema..... ■4R za Rais Samia zawatoa 21, Waziri Katambi asimulia ■Watanzania mil. 6 wanufaika uchumi...
0 Reactions
5 Replies
164 Views
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu...
2 Reactions
31 Replies
723 Views
Mhe. Lissu: shahidi ulisema Jambo TV na Chanzo TV walirusha mkutano huo live, waeleze majaji kwa ufahamu wako uwepo wa hatua zozote za kuwafungulia Jambo TV na Chanzo TV mashtaka ya kuwezesha...
2 Reactions
0 Replies
124 Views
Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa...
3 Reactions
12 Replies
293 Views
Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja...
11 Reactions
88 Replies
1K Views
0 Reactions
7 Replies
161 Views
Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji...
3 Reactions
60 Replies
859 Views
https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4 Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa. Sasa analaumu...
10 Reactions
12 Replies
349 Views
Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa amesema kitendo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwataka Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya...
1 Reactions
12 Replies
244 Views
https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa...
1 Reactions
14 Replies
523 Views
Ni huzuni & majonzi Ameumaliza mwendo Kazi ya Mungu Haina makosa Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha Alishiriki vema akitoa Zaka na...
10 Reactions
277 Replies
51K Views
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi...
6 Reactions
26 Replies
558 Views
Wengine wanasema Nchimbi amekwenda vakesheni Afghanistan. Wengine wanasema Nchimbi yuko katika detention. Ambako wanamwambia: "Listen,you are a nice guy and we don't want to harm you ...
16 Reactions
31 Replies
907 Views
Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii...
31 Reactions
82 Replies
2K Views
Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa...
7 Reactions
11 Replies
271 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya...
9 Reactions
82 Replies
2K Views
Back
Top Bottom