Kati ya Septemba 5 -7 2025, JamiiForums ilipita changamoto mbalimbali huku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa...
Huku kwetu Tandika Mwembe Yanga, Temeke na sasa hata Mbagala, kuna Kampeni kali ya Kusambaza No Reforms No Election.
Mwanzo sikuelewa msingi wa malalamiko ya Mama Lishe hao, Maana nilisikia hela...
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha...
Aise mimi nimeamua kutake-care of myself mapema sanaaaa!
Hali si hali wakuu tupo hatarini kitekwa, kuteswa na kuuawa, tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunapojisaidia...
CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga...
Tahadhari! Uhamisho wa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Uzingatiwe Mara Moja
Mkoa wa Kilimanjaro unahitaji uongozi wa kisiasa unaojenga umoja, unaosikiliza wanachama, unaoheshimu taratibu za...
Utangulizi
Tanzania ina rasilimali nyingi, watu wenye uwezo mkubwa, ardhi, madini, mifugo, kilimo, bahari na nafasi muhimu ya kijiografia. Hata hivyo, utajiri wa taifa pekee hautoshi kulifikisha...
Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa...
TAFAKURI YA KAULI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA KWENYE MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA MAPINDUZI 8/12/2022 DODOMA
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amemtaka Mh. Rais Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu...
Kwasababu haiwezekani kila kampeni ya kiuchumi, kijamii au kisiasa wanayoianzisha chadema lazima ikwame na kuyeyuka katika mazingira ambayo hayana maeleo. Mathalani, michango ya tonetone ya sasa...
Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu:
Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka...
Huu ni ukweli mchungu, kwa mazingira tulio nayo na siasa za chadema kwa sasa Itafika 2030 tupo hivi hivi,..
Ukawa walifanya kosa kubwa sana mwaka 2012/13 kususia bunge la katiba kwa kigezo kikuu...
Katika kutekeleza majukumu kwa mujibu wa Sheria, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kufuatilia mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia ambapo bei hizo...
Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu.
Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi...
TAARIFA KWA UMMA
Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa...
Taarifa zilizosambaa mitandaoni zinadai kuwa Godfrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wakati wa Magufuli ametekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na watekaji waliojitambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.