Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,875
- 50,706
Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM.
Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia.
Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza kufutwa ili ibakie CCM peke yake, huwa mnatumia vigezo au mantiki gani kuwaza hivyo?
Kwa nini vyama vingine vifutwe ili CCM ibakie peke yake? Kama CHADEMA itafutwa basi vyama vingine navyo vifutwe ili tuanze upya!