Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bana nimekuja kuwaambia kitu kibaya sana, ukifikiri pesa ni suluhisho la kila kitu, subiri tu uone shida zake. Niko hapa nina pesa, lakini stress yangu ni kubwa kuliko ya mtu wa kima cha chini...
1 Reactions
3 Replies
22 Views
Walisema huyu jamaa ana matatizo ya akili (Insanity). Je, wataweza kumshitaki wakati ni mwehu
0 Reactions
6 Replies
121 Views
Chama cha ACT Wazalendo kinakemea vikali kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka jioni ya jana Agosti 14, 2026, nje ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi akiwa anatekeleza...
1 Reactions
0 Replies
59 Views
Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
2 Reactions
59 Replies
481 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda...
2 Reactions
8 Replies
100 Views
Hili halina ubishi ndio maana alipata sapoti kubwa kutoka kwa wanannchi wa hali ya chini na wapigani na wahuni walimchukia hayati JPM Leo hii kumekuwa na tabaka la wanafaidi keki ya taifa huku...
2 Reactions
20 Replies
134 Views
Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
1 Reactions
17 Replies
379 Views
  • Redirect
Linusu Kimario, mkazi wa Kipawa, Dar es Salaam, amedai kupigwa na kundi la waendesha bodaboda zaidi ya 30 katika eneo la Kinyerezi Pondi, wakimuhoji kwanini amekuwa akivaa nguo yenye picha ya Rais...
0 Reactions
Replies
Views
Mahakama ina matatizo mengi kama kutokuwa huru, rushwa, shyster judges, magistrates and the.like. Mmekomalia mawakili wasiongee na vyombo vya habari kwenye viunga. Rubbish! Hamjaona polisi...
9 Reactions
25 Replies
401 Views
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
3 Reactions
24 Replies
563 Views
  • Redirect
📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa sh.trilioni 7.4 Fedha za Watanzania Waziri wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani...
3 Reactions
8 Replies
228 Views
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a). Kupata...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia...
1 Reactions
24 Replies
269 Views
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Nakusalimu kwa JMT, Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya njema, uhai, amani na utulivu kwa...
6 Reactions
42 Replies
733 Views
Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba. Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi...
5 Reactions
11 Replies
235 Views
Katika kikao cha hivi karibuni kati ya TEC na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, je, suala la kesi ya Tundu Lissu lilijadiliwa? Kwa kuwa Lissu amekaa gerezani kwa muda mrefu, wengi tunaona sasa...
0 Reactions
14 Replies
99 Views
This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya...
14 Reactions
44 Replies
943 Views
Inasikitisha sana kukosoa serikali kugeuka kua Ugaidi kweli? Kukosoa serikali ni kusimama na nchi kama unakosoa bila...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Back
Top Bottom