Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Wahenga walishasema ya kuwa Ukitaka kuruka angani agani kwanza na nyonga . Lissu Aliruka angani bila kuagana na nyonga ,bila kujua ni vipi atatua chini ,ni wapi...
Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.
Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza...
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi...
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano
Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya...
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya...
Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule...
Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe?
Na mwandishi wetu Vunjo
Tarehe: 13 Julai 2025
Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato...
Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo.
Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu...
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19.
Kwa mujibu wa...
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli...
Kuna wakati unaweza kutupa mbegu ya ovocado au kokwa la embe pembeni ya nyumba bila kukusudia kuliotesha wewe ukidhani umetupa kama uchafu mwingine. Hata hivyo kwa vile vitu hivyo vina asili ya...
"Nilikuja kugombea Mtwara wakati sina uhakika kama je wana Mtwara mtanichagua kuwa Mbunge ama lah, lakini kwasababu niliapa kwa Mwenyenzi Mungu wana Mtwara mlikuwa mnaonewa sana, wana Mtwara...
Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!.
Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, imetoa rai kwa mawakala wa miamala ya kifedha kuchukua tahadhari na kufuata sheria na miongozo ya kazi zao...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.