Ndugu wana Jf tumeshuhudia maneno mengi toka kwa wapinzani wakati wa kampeni na baada ya kupiga kura juu ya mbinu chafu zinazofanywa na CCM kwa kuingia katika vyumba vya kupigia kura na ma hotpot...
NI MAASKOFU, MASHEHE, WASEMA WIZI UPO KWENYE MISAMAHA YA KODI, MAGENDO
Fredy Azzah na Raymond Kaminyoge KAMATI ya Viongozi wa Dini, imetoa ripoti yake ya utafiti kuhusu uchumi wa nchi na...
Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe amekitabiria ushindi chama cha Demokrasia na maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu unaokuja.
Waziri Membe amesema chama cha CDM kimetokea kupendwa na wananchi...
Daniel Mjema, Moshi | Mwananchi
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), leo inatarajia kuwaburuza kortini vigogo watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro...
TZ inaendelea kufanya vizuri kwenye mambo ya amani pamoja na mauaji ya watu wanaoandamana kwa amani, askari kupiga raia hovyohovyo, nk. Tusubirie siku za usoni matukio za ZNZ, ushari wa akina...
KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA WAZIRI WA FEDHA
HOFU imetanda mjini Dodoma juu ya kuwapo kwa uwezekano wa kukwama kwa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2012/13 inayotarajiwa...
Monday, 11 June 2012 09:38
By Ludger Kasumuni, The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
A tusle pitting the Parliamentary Committee on Finance against the minister for Finance William Mgimwa has...
Kuna mambo mengi yanaendelea hapa nchini ambayo tunaweza kuyachambua na mengine kuonekana kwa wachache ambayo yote haya yanaumiza nafsi za watanzania wengi. Nikitaja madudu hapa sitamaliza ila...
Chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya Temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na Kisuma Bar Mwenbe Yanga hivyo...
Habari zenu Wadau - JF.
Hebu naomba kwa aliyeelewa au kutafakari na kutafakuri juu ya wimbo uliopigwa wakati Dr. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Magamba alipokuwa akihutubia wenzake waliojumuika...
By Prof: Shariff
NOBODY in his right mindwould condone the torching of churches and shops in Zanzibar last weekend. But it is a great shame that so many, including some of the top leaders in the...
Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama...
Gazeti la CCM Uhuru linaongoza kwa habari kwamba CDM imepasuka na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa wamerushiana maneno makali katika kikao cha siri mwandishi anachodai...
Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari..
Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na...
Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA...