Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jun 10, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe amekitabiria ushindi chama cha Demokrasia na maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu unaokuja.

  Waziri Membe amesema chama cha CDM kimetokea kupendwa na wananchi katika kila kona ya nchi na hata operesheni yao ya kusini imekitikisa chama tawala.

  Waziri Membe aliyasema hayo katika chakula cha mchana alichowaandalia viongozi wa CDM nyumbani kwake waliokuwa katika jimbo lake la Mtama.

  Viongozi hao ni mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema,kamanda James Millya na viongozi wakuu waandamizi.

  Waziri Membe aliwaambia viongozi hao ameishi nchi mbalimbali duniani zenye demokrasia ya hali ya juu hivyo hatashangazwa hata kidogo CDM kuingia Ikulu.

  Kuhusu kesi iliyotengua ubunge Lema waziri Membe amedai kushtushwa na kusema kwa vile amekata rufaa anaamini mahakama ya rufaa itamrejeshea ubunge wake.


  Source:
  Mtanzania Jumapili.

  Updates......
  Katika taarifa ya habari ITV saa mbili usiku waziri Membe ameonyeshwa akiwakaribisha viongozi wa CDM nyumbani kwake kijijini Jimboni Mtama na kukaririwa akiwashutumu wabunge wanaolalamika kuvamiwa na CDM majimboni mwao katika vuguvugu la M4C.

  Membe amesema wabunge hao hawajui ni nini maana ya siasa ya vyama vingi.
   
 2. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunamkaribisha kwenye M4C
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mnafiki, mzabizabina, nyoka wa mdimu......!
   
 4. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,769
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Makubwa!
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  CCM woooooote wanalitambua hilo wala halihitaji phd kulielewa.
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
   
 7. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hatuna sababu ya kumshambulia Benard Membe, hakuna mtu anayekuwa mtenda dhambi wa milele, isipokuwa shetwani! Ameongea maneno yenye upako wa Mungu, tuyaheshimu na kuyafanyia kazi kwa tahadhali ya hali ya juu. Ubarikiwe Membe.
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha unafiki hapo ndugu. Siasa si uadui, Chama kimoja kinatawala leo kesho kinatawala kingine.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Ccm wanajua hila ya jk, wanajua 2015 hapatoshi wamebaki kufanya mipasho bora membe amesaliti amri.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu tusimshambulie.Membe amesema ukweli hata kama unauma kwa chama chake
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri kauli ya Nape kwa.matamshi haya ya Membe
   
 12. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kama kweli amefanya hivyo, basi ni mtu mkweli asiyetaka kuficha ukweli kwa mgongo wa kukipendezesha chama kinachoshindwa kuangalia maslahi ya umma. Ubinafsi mpaka kwenye masaburi.
   
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Membe ameongea yaliyo moyoni kwake. Pia, ameonyesha busara. Hata Maige ameshatoa kauli kama hii zaidi ya mara 1. Mwendawazimu Nepi ndio amebaki kichwa ngumu.
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana CCM wote wanatambua kuwa CHADEMA inachukua dola 2015,lakini ni wanaCCM wachache wanaoweza kutamka hili japo moyo wanajua ukweli!wengine wanashindwa kutamka kwa kuhofia ugali wao,wengine kuhofia posho.ROHO I RADHI,LAKINI MWILI NI DHAIFU
   
 15. A

  Amwesiga Senior Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanx bro kwa faraja uliyonipa Membe ameonyesha demokrasia ya fikra.
   
 16. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MH, Membe ni mwana siasa aliyekomaa kama amewakaribisha wapinzani wake katika chakula na kuongea hivo tutegemee makubwa hapa katikati kabla ya 2015
   
 17. S

  STIDE JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Akiiona Nape hii anazimia!!
  Utamsikia akiny** mdomoni "wanaokisariti chama cha mapinduzi wawajibishwe!!" Subirini muone...!
   
 18. m

  mharakati JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nani atakua mgombea wa CDM 2015?
   
 19. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 971
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Membe we ni shujaa kwa kusema ukweli japo wengine roho zinawauma but no way out, sema tu bro.
   
 20. e

  elly1978 Senior Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sina neno, hakawii kusema kalishwa maneno
   
Loading...